kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,271
- 1,809
Hao jamaa ni wapuuzi sana. Halafu staili yao ni kama inafanana. Walijaribu kuniingiza mkenge kwa staili kama hii. Nilipostuka ni pale aliyetakiwa kuniletea mzigo kudai kwenye malipo ya 400,000 "kuwatoa" wahasibu ili watoe risiti plain kapungukiwa kama 190,000 kwa sababu alikuwa likizo kwahiyo hayupo vizuri kifedha. Kwahiyo eti nitoe hizo 190,000 halafu tutakatana kwenye pesa ya mzigo!!
Nahisi hao jamaa baada ya kujaribu kunitaperi walikuja kwako maana maelezo yako ni copyright.