Matapeli hatari, chunga wasikudake

Matapeli hatari, chunga wasikudake

Milimwambia Nina Lak Mbl Na 94 Nmb Sasa Niko Mbl Na Mjin Na Nataka Kutoa Hla Kamil Naomb Unitmie Elfu 6 Ili Nkitma Nitme Tatu Kamil Kwa Njia Ya Mpesa Maana Kwny Mpesa Nina Elfu 9namia 3 Jamaa Akajikok Alvo Tma Tu Nkajiunga Bado La Wiki Afu Nkamtext Asanteee Kwa Kejel Alinitkana Kwenye Txt Yn Ofisi Nzma Ilikuwa Inafatilia Kwa Makin Tulicheka Sana, Hao Jamaa Wametapel Wat Weng Sana Na Inawezekan Huwa Wanaushrka Na Wat Wa Karbu Wanao Kufaham Maana Wanakujua Jna ,kaz Unayofanya Na Mahala Unapoish

Sitaisahau hiyo siku. Nilishindwa hata kuhudumia wateja kwa sababu ya hilo dili. Rafiki yangu alinikuta naongea kiingereza na huyo mzungu feki hadi akashangaa na kuniuliza.............tangu lini unaongea kiingereza😀😀 njaa mbaya sana.
 
Duuh mi walishanipiga Znzbr na nikawataarifu rafiki zangu wrote baadae wakarudia tena nikapeleka taarifa zote Polisi. Madema znz. Polisi wakasema hawana msaada baadae nilifanikiwa kupata mwasiliano ya Mmoja wao akasema siwezi ua mtandao huo kwani wana watu wengi, na namna tofauti.
Hapo naona mwanga uko namba moja
 
Haaahaaaa wanajiitagaa wahabeshii. Ni vijaana machaliii wanakaaga mahalii ukiwauzia no ya tajir wanakupozaa afuu wanaanzaa kuchekechaa ukizubaa unapigwaa hzo no Kama unazo jarbu kupiga tenaa hazitokaa zipatikanee. Wanalain zinajaa salfet. Niwatuuu wanafahamikaa
hawa waabeshi si machalii ww Arusha? Kama ni hao juzi kati na wenyewe wamepigwa tu M kadhaa na kichapo cha haja
 
Njia ya kwanza kabisa ya kuepuka utapeli ni kukariri kichwani mwako kwamba "hakuna fedha inayopatikana kirahisi bila kuitolea jasho". Tamaa ndiyo uponza wengi hadi kutapeliwa na pia huruma iliyopitiliza. Nasema hivi kwa sababu kuna wengine wanaotapeliwa si kwa sababu walikuwa na tamaa ya kupata fedha za haraka haraka ila ni kwa sababu ya kuwa na huruma ya kupitiliza kwa wengine hivyo kufikia kutoa msaada bila kujiridhisha kwanza na uhalali au uhalisia wa shida ya anaehitaji msaada.

Sawa kabisa. Kwanza kama ulivyosema:
1. Hakuna pesa inayopatikana kiurahisi, lakini na mimi naongeza:
2. Hakuna mtu ambaye hakufahamu halafu akupe UPENDO mkubwa kiasi kwamba akupe utajiri mkubwa kwa wewe kutoa hela kidogo, hicho kitu hakipo kabisa. Ukiona unarahisishiwa maisha tu, jua hapo kuna utapeli mkubwa!
 
Sasa umeficha namba zao basi nawe umo nao labda wamekudhulumu ndio unaanika
 
Watajuwa wanawapiga sana watu hasa vijana ambao hawajaenda shule wenye uwezo mdogo wa kupambanua mambo
 
Haaahaaaa wanajiitagaa wahabeshii. Ni vijaana machaliii wanakaaga mahalii ukiwauzia no ya tajir wanakupozaa afuu wanaanzaa kuchekechaa ukizubaa unapigwaa hzo no Kama unazo jarbu kupiga tenaa hazitokaa zipatikanee. Wanalain zinajaa salfet. Niwatuuu wanafahamikaa

Kuna waliokuwa wanatafuta dawa za kuhifadhi nafaka sijui waliishia wapi. Tena wakikupigia tayari wana data zako zote!
 
Aisee hata mm wameshawah kunifanyia huo mchezo ni baada ya kuwa na million 2 ... Ila niliwashtukia mapema
 
Hao wapo hasa wanakwambia uende maeneo ya river side, niliwashitukia nikamdaka mmoja nikampa kichapo cha kimya kimya pale ubungo, wananchi wakawa wanamuuliza vipi mzee mbona unapigwa akawa anawajibu niacheni tu.
 
Hii dar kuna matapeli wengi sana. Kuna wengine nakumbuka ilikuwa 2010 niliwapeleka new Africa nikawaambia wanywe wale then nitaenda kulipa, wakati wa mazungumzo. Kilichowapata sijui maana hawakunitaguta tena mamamae zao
 
Wengine wako hapa sinza makaburini JIRAN na na kanisa la kilokole.wanajiita sinza evangelical saccos
 
Hao wapo hasa wanakwambia uende maeneo ya river side, niliwashitukia nikamdaka mmoja nikampa kichapo cha kimya kimya pale ubungo, wananchi wakawa wanamuuliza vipi mzee mbona unapigwa akawa anawajibu niacheni tu.

Du! Mkuu kwa kweli umenichekesha sana yaani unapata kisago harafu wanakuja watu kukusaidia unasema niacheni tu lol!
 
Hao wapo hasa wanakwambia uende maeneo ya river side, niliwashitukia nikamdaka mmoja nikampa kichapo cha kimya kimya pale ubungo, wananchi wakawa wanamuuliza vipi mzee mbona unapigwa akawa anawajibu niacheni tu.

Asee mimi mnanichekesha tuuu...kwi kwi eti niacheni tu
 
Back
Top Bottom