Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,906
- 2,699
Hawa ni matapeli ambao wanajaribu kunitapeli muda huu kwa njia ya simu na hapa wananisubiria niwapelekee laki tatu.
Majina yao ni;
David - 07143938**
Huyu ni Mama - 07831945**
Mzee M. wa JKT - Huyu ni mtoaji wa risiti ambazo natakiwa kulipia laki 3 - 07426834**
Hizi ni msg zao;
Spear ni Hydrolic Pipes za farm truck tractor za HP 150, Oda ni Pc 50. No. ya mzee Michael ni 07426834** mtaje MrKuraya wa Pawaga, receipt: m/s Iringa split peas project.
P.O. Box 478 Iringa. Qty-hydrolic pipe's pc50. 300,000 grand total 15,000,000/=
Yaani wanaagiza mzigo wa Million 15 lakini hawana pesa ya risiti ya laki 3!!