FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,983
- 47,056
Jamaa ana damu kali sana, yaani huyo mama kaambulia patupu kwa hao watotoEnzi za utawala wake,
Rais aliyepinduliwa wa Gabon, Ali Omar Bongo aliwahi kuagiza Theluji bandia kutoka Ulaya na kuwekwa kwenye Ikulu ya Rais, ili familia yake isherekee Krismasi kwenye Theluji kama wapo Ulaya.
Kibaya zaidi ni kwamba [emoji116]Asilimia 33.4% ya wakazi wa Gabon, wanaishi katika umaskini wa kutupwa licha ya taifa hilo kuwa na utajiri wa mafuta pamoja na idadi ndogo ya raia wasiozidi milioni 2.4 pekee.
Afrika yetu sijui ilirogwa na nani aisee [emoji1544]
View attachment 2733831
Sasa ni muda mzuri wa kuagiza tena akiwa nyumbani kwenye uangalizi waangalizi 12😂😂Enzi za utawala wake,
Rais aliyepinduliwa wa Gabon, Ali Omar Bongo aliwahi kuagiza Theluji bandia kutoka Ulaya na kuwekwa kwenye Ikulu ya Rais, ili familia yake isherekee Krismasi kwenye Theluji kama wapo Ulaya.
Kibaya zaidi ni kwamba [emoji116]Asilimia 33.4% ya wakazi wa Gabon, wanaishi katika umaskini wa kutupwa licha ya taifa hilo kuwa na utajiri wa mafuta pamoja na idadi ndogo ya raia wasiozidi milioni 2.4 pekee.
Afrika yetu sijui ilirogwa na nani aisee [emoji1544]
View attachment 2733831
Ni kawaida dictator akiondoka kila kitu kinavurugika power vacuum sababu madaraka yote alihodhi yeye hakukuwa na taasisi. Ipo siku angekufa ugumu ungekuja ule tuTupe mfano.
Libya walimpindua Gadaffi sahivi maisha magumu.
Watz hatuna haja ya kumpindua Rais. Tulisha ruhusiwa kuiba kwa urefu wa kamba zetu.Kwani hao waliopindua unadhani hawataiba? Ni nchi gani ambayo yalifanyika mapinduzi ya kijeshi na huyo raisi asiibe hata thumni. Sio kwa afrika hii.
Viongozi wengi ni wafujaji wa mali za umma..Kwani hao waliopindua unadhani hawataiba? Ni nchi gani ambayo yalifanyika mapinduzi ya kijeshi na huyo raisi asiibe hata thumni. Sio kwa afrika hii.
Ila aliwajali sanaWe unadhani gadafi hakuwaibia wana libya? Mpaka akataka kumrithisha mwanawe?
Ni kweli. Shida ya maraisi wetu wanaogelea katika utajiri katikati ya masikini waliojazana kila kona, na wanafanya kufuru hiyo waziwazi kabisaKwani hao waliopindua unadhani hawataiba? Ni nchi gani ambayo yalifanyika mapinduzi ya kijeshi na huyo raisi asiibe hata thumni. Sio kwa afrika hii.
Kama alivyokuwa jiwe. Kuweka umeme 27k tu.Ila aliwajali sana
Enzi za utawala wake,
Rais aliyepinduliwa wa Gabon, Ali Omar Bongo aliwahi kuagiza Theluji bandia kutoka Ulaya na kuwekwa kwenye Ikulu ya Rais, ili familia yake isherekee Krismasi kwenye Theluji kama wapo Ulaya.
Kibaya zaidi ni kwamba [emoji116]Asilimia 33.4% ya wakazi wa Gabon, wanaishi katika umaskini wa kutupwa licha ya taifa hilo kuwa na utajiri wa mafuta pamoja na idadi ndogo ya raia wasiozidi milioni 2.4 pekee.
Afrika yetu sijui ilirogwa na nani aisee [emoji1544]
View attachment 2733831
We unadhani gadafi hakuwaibia wana libya? Mpaka akataka kumrithisha mwanawe?
MDA wa bwana bongo kula wali mkavu[emoji28]
Misri walpimdua mubaraki wanafurahia maisha, tunisia ben bera saivi ni tambalale ni akili zenu na gadafi amgeondoka kama wenzake wa misri na tunisia kusingekue vile tatizo alijiona wa utofauti
Ni kawaida dictator akiondoka kila kitu kinavurugika power vacuum sababu madaraka yote alihodhi yeye hakukuwa na taasisi. Ipo siku angekufa ugumu ungekuja ule tu
Ila aliwajali sana
Yaan akili km hizi ni za kijuha sana.Kwani hao waliopindua unadhani hawataiba? Ni nchi gani ambayo yalifanyika mapinduzi ya kijeshi na huyo raisi asiibe hata thumni. Sio kwa afrika hii.