Matanuzi ya Ali Bongo

Los santos

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2021
Posts
1,190
Reaction score
2,657
Enzi za utawala wake,

Rais aliyepinduliwa wa Gabon, Ali Omar Bongo aliwahi kuagiza Theluji bandia kutoka Ulaya na kuwekwa kwenye Ikulu ya Rais, ili familia yake isherekee Krismasi kwenye Theluji kama wapo Ulaya.

Kibaya zaidi ni kwamba [emoji116]Asilimia 33.4% ya wakazi wa Gabon, wanaishi katika umaskini wa kutupwa licha ya taifa hilo kuwa na utajiri wa mafuta pamoja na idadi ndogo ya raia wasiozidi milioni 2.4 pekee.

Afrika yetu sijui ilirogwa na nani aisee [emoji1544]

 
Uislam wa kina Bongo changamoto sana
 
Mengine ni uongo.....tusiyaamini yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…