Matani

Twende twende .....mashavu ka mimba ya panya ......twende twende .....,bichwa ka boga .....
 
kwenu mpo wengi hadi sebuleni kwenu kuna round about

Wewe ni mshamba hadi siku yako ya kwanza kuona chai ya rangi uliuliza kama ni maji yameungua!!!

Mi naamini mnataniana tu, hamna ukweli humu

Simu yako ni nzee (ya zamani mnooooo) inatumia roman numbers.

Muone ulivyo mrefu ukinya maziwa fresh adi yafike tumboni yamesha ganda kua mtindi hahahaaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

We ni mweusi mpaka huwezi kuhudhuria 'evening classes'

Wassira naye yupo anatumia "Chloroquine"

Kichwa kama mabasi ya bedford...

Nimecheka hadi bhaaasi
 
Mgongo ka meza ya kuchezea kamari

Wewe ni mwizi mpaka kufuli zikikuona zinajifungua zenyewe.

Chocs... una mikono migumu mpaka ukishika noti ya buku inakuwa chenchi chenchi za mia...
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mwizi mpaka kufuli zikikuona zinajifungua zenyewe.

Chocs... una mikono migumu mpaka ukishika noti ya buku inakuwa chenchi chenchi za mia...

Makalio yako mba....kama sahani ya bati
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mwizi mpaka kufuli zikikuona zinajifungua zenyewe.

Chocs... una mikono migumu mpaka ukishika noti ya buku inakuwa chenchi chenchi za mia...

Kiruuu hahaha

Lione..... midevu kama umechovya kwenye povu la bia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom