nafikiri tunajaribu kuondoa stress za uchaguzi eeehh, haya bwana taratibu tu usijemtukana mkweo, naskia mpaka vidingi vimo humu jf!!! Sijajua jk na pinda wanatumia nickname gani bt i think ni moja kati ya ulizotaja hapo juu, makamba yeye anatumia nickname ya malaria sugu au zubeda
Mwangalie kwanza, wewe Bigirita yaani wewe ni mbaya mpaka hutumia lotion inayoitwa 'why bother!'..teh teh..
Mkuu uzuri wa matani yasifanane na ukweli manake unaweza sababisha mengine humu.
Nilikuwa napita tu jamani................................
Yaani hashy kwenu ni maskini mpaka nyie hukimbiza lile gari la takataka mkiwa na shopping list!!!!!!
***tafa..tafa..tafa..tafa..tafadhali ndugu yangu usinichukie...
yote tisa kumi hilo hahaaaaaa haaaa haaaaaaaaataaaa uh huu chwaaah......elli acha kunivunja mbavu bana...so, wakuu wote wamo humu...
Kwanza nlikuwa na moja la malaria sugu wacha nimpe ndo nimuombe msamaha: Una kiuno kidogo mpaka ukijifunga belt ya kijani unakaa taxi za ilala...
Basi wacha niendelee na wewe:
Yaani wewe ni mjinga mpaka ulienda boarding sunday school!
Na wewe njiwa...yani kwenu mko wengi mpaka nduguyo wa mwisho anaitwa 'yatosha'
ngumi hizo hizo hiyoa wapi hashy..usipunguze makali: Yaani nyie ni maskini mpaka dadako badala ya kutumia 'always' ye hutumia 'sometimes'..lol!
Yaani nyie wajinga kupindukia nyie vikombe 2 vimeandikwa this side up...Hahaha...
Na nyie kwenu ni wajinga mpaka mkinunua viatu vinakuwa vimeandikwa; "This way in."
Hahaha...
Na nyie kwenu ni wajinga mpaka mkinunua viatu vinakuwa vimeandikwa; "This way in."