Mwanamke ndio kiumbe pekee duniani. ambae ikitokea ananyeshewa na mvua anafunika nywele na rambo anaacha mwili uloe. Yani bora apate homa sio kuloa wigi.
Mnawachokoza hao viumbe , subiri muambiwe hampigi mechi hadi mnywe mchuzi wa pweza,
Mi nilisha apa kutotaniana na wanawake kabisa maana hao viumbe nguvu yao ipo mdomoni na wanaume nguvu yao ipo kwenye misuli , hivyo shauri yenu mkidhalilika mi simo