Mi naomba msaada wa kutoa Matangazo kwenye app niliyo install kwenye simu yangu natumia tecno c9 yaani mfano nimedownload AVG AntiVirus basi unakuta kunapicha za video wadada wanchezea simu zao wapo uchi basi napatwa na hasira Sana kwani simu yangu siwezi kumpa mtoto acheze game, naumia Sana Nisaidieni