Matangazo ya Kibongo hayooooo

bango linaonesha usikae kwenye majani na kwenye mchanga lkn kukaa kwny kibaraza hamna shida au???
 
unaeka tangazo hilo wkt hata mabenchi hujaeka unategemea nn??
 
Matangazo ya kibongo ni shida hayana mantiki,ni sawa na tangazo la ikulu hairuhusiwi kupita obama road kuanzia saa 12 jioni as if uhalifu unafanyika mida hiyo tu.
 
unaeka tangazo marufuku kutupa takataka wkt hakujaekwa mapipa ya taka barabarani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…