sasa sikia kama wewe muhanga sana..usihangaike na hayo matangazo..viwandani unaweza? nenda pale EPZ external mle ndani kuna maviwanda kibao, wanatakaga sana vibarua, mfano kuna moja ya kichina naijua kila jumatatu wanaokea new vibarua cha msingi uwah kufika omba uelekezwe mle ndani afu ukifika kwa mlinzi mwmbie tu mi nahitaji ajira nisaidie anakuingiza fasta tu, mshahara buku 5 kwa siku, ukichoka unasepa hvy hvy....