Babu wa Kambo
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 559
- 808
Japo mimi si mtumiaji wa Tigo ila kiukweli kama zingetolewa Tuzo za Tangazo bora mimi ningependekeza matangazo yote ya huyu jamaa anaewatangazia Tigo kwa sasa anajiita Dr. Digital, jamaa mbunifu sana, na matangazo yake yameenda shule
Tigo huwa wako makini sana kwenye matangazo yao, sema hapa katikati walimpa Joti akaanza vizuri baadae kataka kuwapoteza, ila nadhani sasa wamempata waliyekuwa wanamtafuta, yule jamaa kiukweli ananikosha sana, nakuwa natamani Tangazo lirudiwe rudiwe japo halinihusu
Hongera zako Dr. Digital, angalia tu usije ukajaa sifa ukasahau kazi, unajitahidi kiukweli