Mi nayapenda saaana haya:
1)Morocco Posta 150, twende! Konda, konda, konda, . . . !
2)Tangazo la zamani Clouds FM kipindi cha bambataaa
3)Ubungo Kariakoo la mzee Majuto!
Lipi lilikuvutia? Tiririka . . . . . . , . !
ZEBAK .......bontafo clemeeeee,
1.Aisee mamushi nenkuona na kapu la matunda ne nkupe buku
2.Kibela nyavu zencheuaaa!!
Umepona we mzee wa majungu?Waamen'tumia hela ya shuuule, WAMEKATAA!!!!