Matangazo kwenye simu huawei p6

Salih

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
687
Reaction score
504
Habari ya mihangaiko Wakuu..? Naomba mwenye utaalamu wa kuondoa matangazo na apps kuji-download zenyewe kwenye simu Huawei p6...maana matangazo yanakuja mfululizo na apps kama OmnSwipe, Battery Doctor na vitu vingine nisivyovielewa kama Monkey Test, Time Service na mengineyo, yaani simu ipo bored kiujumla kwa sasa na nilijaribu kuweka Antivirus tofauti lkn zinazuia kwa muda tena zina-report kama virus lkn baadae vinarudi tena kwa fujo.
 
Ondoa/Unistall app yeyote ambayo ipo kama mbadala wa Playstore, unistall downloaded Apps zote kutoka kwa Publisher wasiojulikana sana, download Application moja baada ya nyingine na usome summary ya permissions ambazo App itaomba
 
Sina application yoyote mbadala zaidi ya Google Play Store, na mpk nilii-restore factory nikabaki na apps zilizopo kwenye simu zile za kawaida lkn bado hali ipo pale pale na mpk sana sina Whatsapp wala Instagram ili kupunguza hizo mambo lkn bado ni shida tu Mkuu.
 
Huwezi kuvizua kwa kutumia ant virus sababu umeviruhusu mwenyewe vikae, android ni tofauti na windows kwenye ufanyakazi wa ant virus.

Android app kabla hujaieka inaomba ruhusa hivyo wewe umeikubalia iweke vyote ulivyovieka.

Kumbuka ulieka nini kabla halijaanza tatizo, then toa ulichoekaa

C
 
Sina kumbukumbu Mkuu kama kuna kitu nilichoweka, ndio maana nikajihami kwa kui-format ili kama kuna vitu nilivikubali viishie hapo, na nilitoa mpk email ili isisaiklonaizi kupitia email labda huenda itakuwa vinapitia kumbukumbu ya email yangu lkn hata nikiipiga chini kwa kuformat na ibaki na apps zake yaani cha kwanza nitakachoona kwenye downloaded app itakuwa Monkey Test na Time service, na niki-disable Monkey test na Time Service baada ya muda zinarudi
 
Then ni huawei wenyewe ndio wanaofanya hayo mambo, kampuni za kichina zina tabu sana.

Jaribu kubadili launcher, nenda store search nova launcher install halafu ieke kama default launcher. Then angalia kama tatizo litajirudia
 
Ngoja nijaribu hivyo, nitarudi na mlejesho Mkuu
 
Jamanii eeeh...na yangu,Play store hai-load nimeshindwa kudownload app yoyote..zaidi nikifungua mobomarket inadownload,nifanyeje wataalam?
 
Jamanii eeeh...na yangu,Play store hai-load nimeshindwa kudownload app yoyote..zaidi nikifungua mobomarket inadownload,nifanyeje wataalam?

1. Angalia kama acess point yako ni wap au internet
2. Jaribu kuclear cache za playstore, nenda setting then application then playstore kuipata hio cache
 
Ndio tatizo la android hapo.sizani mtu wa apple.blackberry.microsoft.kama wanalialia kaka.badirisha kama lowasa.achana hao jamaa tena huawei hata iwe p8bado pasua.
 
Nilifanikiwa baada ya kufanya yafuatayo:
1: Niliroot simu yangu
2: Nikaisntall system app remover
3: Nikatoa system apps zote ambazo sina mpango nazo zikabaki za mhimu
4: Nikaisntall clockwork mode recovery
5: Nika clear caches na kufomart tatizo likawa limeisha, uzuri wa customer recovery inafanya Kazi kwa ufanisi zaidi kuliko factory recovery.
 
Tatizo la P6 nimejaribu kui-root na towly root imegoma kbs ku-root
 
Then ni huawei wenyewe ndio wanaofanya hayo mambo, kampuni za kichina zina tabu sana.

Jaribu kubadili launcher, nenda store search nova launcher install halafu ieke kama default launcher. Then angalia kama tatizo litajirudia

Mkuu nimejaribu kuweka launcher zaidi ya3 tofauti lkn hali ni ile ile full matangazo na kudownload apps bila kuzihitaji hasa hizo OmnSwipe na Battery Doctor
 
Aiseee hiyo tabia ili kuwepo pia kwenye tecno p5 yangu inaboa sana.........ni visoftware vinavyotegeshwa kwenye application za google play store........vinaoparate vyenyewe.......vinaboa kupita maelezo...........
Mimi nilirestore factory but application zangu sikutumia tena google play kuzidownload nilitumia website tofauti kabisa kudownload whatsapp ....insta na nyinginezo nyingi.......sijajua kwa rooted android kama samsung.......sony......na nyinginezo ila hizi mediatek ni majanga ........
 
Yaani hawa mabazazi wanao vitengeza kama niwakamate niwale kiboga maana wanafanya mambo ya kishoga sana.......kwani kuna ulazima gani wa kumforce mtumiaji wa simu ayaone matangazo yenu kwa lazima.......aaaaaaaaaagh.....so stupid.
 
Mkuu nimejaribu kuweka launcher zaidi ya3 tofauti lkn hali ni ile ile full matangazo na kudownload apps bila kuzihitaji hasa hizo OmnSwipe na Battery Doctor

Itakua ni rom ya huawei, jaribu kuroot na king root
 
Hayo matangazo yanatokea hata kwenye simu yangu tecno h6
 
Itakua ni rom ya huawei, jaribu kuroot na king root

Dah! Mkuu shukrani sana, kwa ku-root na King root naona tatizo limepungua kbs, maana niliweza ku-unstall baadhi ya sources ya hizo zinazoleta matangazo
 
Dah! Mkuu shukrani sana, kwa ku-root na King root naona tatizo limepungua kbs, maana niliweza ku-unstall baadhi ya sources ya hizo zinazoleta matangazo
hiyo king root unaipatajeee??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…