Mlima meru
Senior Member
- Dec 30, 2012
- 114
- 20
Wapendwa wa jamii forum,
Naona watu wengi wanaweka matangazo hapa kwa Jf ila zaidi ya 80% hawajui nini kinatakiwa kujumuishwa ili uweze kuuza bidhaa yako.
Kama upo serious kuuza chochote zingatia yafuatayo;
1. Jina la bidhaa
2. Ipo kwenye hali gani (ubora) na kama ni mpya au used.
3. Jitahidi kuelezea bidhaa yako japo kidogo kwani sio wote wanafaham vitu mf. Nauza vaseline lotion, haina harufu, inafaa kutumiwa na aina zote za ngozi japo wanaume wanaitumia zaidi.nk
4. Weka picha kama unazo
5. Weka bei (rasmi au hata ya kuanzia)
6. Kama ni bidhaa kama gari onesha Kilometa zilizotembea, ukubwa wa Engine (CC) na pengine mwaka (japo sio muhimu sana) na kama inadaiwa kodi za serikali.
7. Andika unapatikana wapi na kama watu wa mikoani wakitaka kununua wataipataje bidhaa yako
8. Weka mawasiliano (yaliyo rasmi na sio namba za simu ambazo hazipatikani)
NB: Najua katika selling techniques hatushauriwi kutanguliza bei katika bidhaa, ila hapa ni Gulio hivyo bei ni muhimu sana.
Wengi wanauza bidhaa zao hapa kwa urahisi kabisa wakati wengine ukisoma tangazo lake hapa unabaki kumuhurumia kwani...unaona kabisa amepoteza muda wake kwani hawezi pata mteja.
Kazi kwenu!