Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,848
- 20,697
Kumekuwa na juhudi nyingi zinazofanywa na gazeti la The Economist tangu Rais John Pombe Magufuli aingie madarakani.Hata hivyo kwa anayejua vizuri gazeti la the Economist hawezi kushangazwa kabisa na juhudi hizo za kibeberu za gazeti hili za kijinga.Gazeti hili kwa faida ya wale wasiojua linamilikiwa kwa asili mia hamsini (50%) na mmoja wa wanafamilia wa The Rothschild Family, Jacob Rothschild.Familia hii na familia zingine 12 ndizo zinazoitawala dunia kisiasa na kiuchumi.Net worth ya familia ya Jacob Rothschild inakisiwa kuwa US$500 trillion.Vitega uchumi vya watu hawa matajiri kabisa duniani vinagusa kila nyanja ya maisha ya wanadamu.Kwa wale wasiojua, kwenye IMF na The World Bank wana majority shares, wakiwa nyuma ya pazia la serikali ya Marekani kwa IMF na serikali ya Uingereza kwa World Bank, ingawa superficially it looks as if World Governments own the IMF and The World Bank!Taarifa zilizopo pia ni kwamba wanamiliki Central Banks zote duniani, isipokuwa tatu tu.
Kwa wale wenye inquisitive minds, watakuwa wameshajiuliza, watu hawa wamepataje utajiri huu wa kutisha?Ukweli ni kwamba ndio wanatumia njia sahihi za kibiashara,lakini njia zao nyingi ni ovu kabisa!Zipo taarifa kwamba hata kupotea kwa ndege ya Malaysian Airline Flight MH370 kwa wale wanaokumbuka, ilikuwa vita ya kibiashara dhidi ya washirika wao wa kibiashara.
Itakumbukwa kwamba washirika wao ndio waliosema hawataki tena an African President of the type of Patrice Lumumba,Julius Nyerere and Kwame Nkrumah, ambaye atawabana katika mikakati yao miovu against Africa.Kwa bahati mbaya kwao tunaye a tough President, ambaye anawabana kwenye mikakati yao kisawasawa ya kutuibia resources zetu,kutengeneza human drones au slaves, ambao watatumika kutekeleza mikakati yao ya kidunia bila kuhoji.Ikumbukwe pia kwamba Rais Dr.John Joseph Pombe Magufuli ameweka brake kwenye uzazi wa mpango, ambao ni mkakati wao muhimu sana katika kutengeneza human drones au watumwa wa kutumika kwenye mikakati yao ya kidunia kama nilivyo sema hapo awali.Kwa upande mwingine pia amewabana kwenye mpango wao wa kupunguza watu duniani ili "waibe vizuri" kwa kutumia pia uzazi wa mpango.Upo mpango wa Eugenia (au Eugenic Programme) unaoendelea kwa wale wanaojua.Huu mpango wamempa Bill Gates ausimamie.Uzazi wa mpango ni sehemu ya mkakati huu.Mpango wa uzazi wa mpango unaua sana akina mama,mayai ambayo hayajakuwa fertilized ya akina mama, vitoto vichanga ambavyo havijazaliwa bado na ambavyo vimeshazaliwa.Very unethical indeed.
Kwa wale wanaodai kwamba Rais analindwa sana,hii ni sababu moja wapo muhinu kwa nini analindwa sana.Navipa hongera sana vyombo vyetu vya usalama kwa kazi yao nzuri ya kumlinda Rais wetu.Naomba ifahamike kwamba mhariri wa jarida la The Economist hajakurupuka kumshambulia na kumpaka matope Rais wetu on his own behalf,ameagizwa na wakubwa zake and is a calculated move.Nimefanya utafiti wa kina jinsi watu kama akina Rothschild walivyopata utajiri wao.They leave no stone unturned in their search for wealth,kwa hiyo ulinzi anaopewa Rais ni sahihi kabisa.