Tangu kuanza kwa awamu hii matamko mengi yametolewa lkn sikumbuki hata moja lililofanikiwa.
Nitayataja hapa baadhi ya matamko yaliyo angukia pua ili kufikirishana kwa pamoja:
a. milioni 50 kila kijiji
b. madawati (simiyu, geita, mwanza, dodoma, bado hadi leo)
c. kuyapeleka mafisadi mahakamani
d. kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu
e. ada elekezi kwa shule binafsi
f. kuwanyang'anya mihuri wenyeviti wa serikali za mitaa
g. kumpata faru john
h. zoezi la usafi nchi nzima
i. kufanya mazoezi nchi nzima
n.k
naomba na ww uongezee niliyo yasahau.