munyakwiringa
Member
- Apr 14, 2015
- 65
- 8
Kampeni za Mwaka huu kuelekea uchaguzi mkuu zimekuwa na sura tofauti kidogo na miaka mingine hoja ya kujaza watu mikutanoni imepewa kipaumbele kikubwa na kuongeza makeke kwa pande ambazo ni kama hazina uhakika sana wa kupata watu kwenye mikutano yao wasanii wengi nao wamekuwa kwakiyumbishwa na madau ya wagombea mbali mbali na kujikuta kila siku wakihama hama makazi ya kisiasa.
Swali la kujiuliza kama nguvu ya mgombea inategemea wasanii jukwaani wanaoteka nyoyo za watu tuna uhakika gani kuwa anao uwezo wakutatua matatizo ya watanzania yaliyodumu kwa miaka zaidi ya hamsini tangu taifa kupata uhuru?
Usiibiwe haki yako ya msingi kama raia