Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,622
Wakuu habari!
Binafsi sio mpenzi wa hizi zinazoitwa singeli, ziite mnanda ukitaka au ukipendezwa ita mchiriku au muziki wa hovyo, yaani wewe tu.
Ila Sasa Kuna hii ngoma ya Mataluma inayoitwa kariakoo, nimeipenda lakini nilivyoitafuta mtandaoni sijaipata,
So please mwenye nayo naomba anitumie hapa nami niburudike na kuepuka mambo ya mtaa wa Kongo,
Maana nasikia waweza nunua sabuni huko ukijua simu.
Asanteni