Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,408
- 166,819
Uko wapi ndugu?
Kuna soda hapa toka kwa mganga maisha mwenzako
Maneno Yao ni mazuri, if unafanya biashara seriously kabisa Ukizingatia unafika mbali. MI nilikuwa kama wewe in past year sikuona umuhimu wa misemo but since last year nilivoanza soma books za mafanikio nakagundua misemo mingi explanation zake ziko vitabuni kama sio msomi wa vitabu huwezi elewa Nini namaanisha. Oneday nilisoma kitabu kimoja kilinifungua Sana sales ya kufanya ya kupata wiki nzima nikaanza kupata kwa siku moja. So, naitrust Sana misemo Yao naamini ndio maisha walioyopitia. Issue ni kujituma fanya kazi kwa bidii zingatia misemo Yao utafika mbali. Biashara ni challenge sio lelemama ndio maana wengi wanashindwa na kukata Tamaa wanaona misemo hiyo ni upuuziSAFARI YA KUFIKIA UTAJIRI; Maneno ya kutia moyo huwa yako mengi sana utaambiwa''USIFE MOYO,GANGAMALA,
INUKA USITEGEMEE MTU, FANYA JUHUDI UTAFANIKIWA,MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU YAKE MWENYEWE''hayo maneno huwa yanatolewa kutoka kwa watu WALIOFANIKIWA kwenda kwa WASIOFANIKIWA,utafikiri kwamba wao walifanikiwa kwa kauli kama hizo!! Matajiri wengi wametajirika kwa KUWEZESHWA,KURITHI,KUKOPA,KUIB
A,KUDHULUMU,KUNYANG'ANYA,KUFIS
ADI na AKIBA ZAO WALIZOJIWEKEA kutokana na vipato vyaoVIKUBWA vyenye ziada,maana huwezi ukaweka akiba kwa mapato madogo upatayo,utakula nini? Utakosa kutajirika HARAKA kama hulipi kodi kwa biashara zako? Sasa mtu hana chanzo chochote kilichiainishwa hapo juu,atatajirikaje!!??? Atafanikiwaje? Hakuna asemaye ukweli kwa jinsi safari yake ya utajiri ilivyopita. Sisi tusiokuwa na nyenzo mngetuacha kwanza! Mnatuvuruga! Wengi ujasiliamali wetu unaish kuganga njaa na kulipa madeni.MILUZI MINGI INAMPOTEZA MBWA!
Kitabu gani hicho? naomba unisaidie na mimiManeno Yao ni mazuri, if unafanya biashara seriously kabisa Ukizingatia unafika mbali. MI nilikuwa kama wewe in past year sikuona umuhimu wa misemo but since last year nilivoanza soma books za mafanikio nakagundua misemo mingi explanation zake ziko vitabuni kama sio msomi wa vitabu huwezi elewa Nini namaanisha. Oneday nilisoma kitabu kimoja kilinifungua Sana sales ya kufanya ya kupata wiki nzima nikaanza kupata kwa siku moja. So, naitrust Sana misemo Yao naamini ndio maisha walioyopitia. Issue ni kujituma fanya kazi kwa bidii zingatia misemo Yao utafika mbali. Biashara ni challenge sio lelemama ndio maana wengi wanashindwa na kukata Tamaa wanaona misemo hiyo ni upuuzi
Akikwambia hicho kitabu nistue bossKitabu gani hicho? naomba unisaidie na mimi