245/70-16 bei gani maana siioni kwenye list yakokwa anayehitaji Matairi ya Bridgestone aje ofisini kwetu msasani au Nipigie simu.
Price list ya Bridgestone tyres ni kama ifuatavyo. (Bei ni kwa tairi moja)
155R12C- 150,000/
175/70R13- 160,000/
175/70R14- 175,000/
185/65R14- 180,000/
195/70R14- 200,000/
195/65R15- 215,000/
205/65R15- 245,000/
205/70R15- 280,000/
215/75R15- 350,000/
215/80R15- 350,000/
265/70R15- 440,000/
205/50R16- 280,000/
205R16- 340,000/
215/70R16- 310,000/
225/70R16- 360,000/
225/75R16- 390,000/
235/60R16- 340,000/
235/70R16- 360,000/
235/75R16-360,000/
235/80R16- 420,000/
235/85R16- 430,000/
255/70R16- 430,000/
275/70R16- 450,000/
225/65R17- 360,000/
245/75R17- 460,000/
285/65R17- 520,000/
275/65R17- 520,000/
285/60R18- 620,000/
SUPER SINGLE TYRES - 385/65 R225- 1,070,000/
Mengine kama sijaweka hapo mnitafute inbox, au kwenye simu.
mkuu zipo, nita edit hio price list. bei ya 245/70R16 ni 450,000 kwa moja.245/70-16 bei gani maana siioni kwenye list yako
zipo mkuu, bei ni 490,000 kwa moja. nakupa ofa, ntakuuzia 430,000 kwa moja kama utachukua kwangu. hizi ni bridgestone guarantee miaka 5 nakupa.Vipi 255/70 R 15?
440,000 kwa moja. bei spesho nakupa 400,000 kwa moja. zimebaki chache.235/70 R 15?? Bei gani
Nas Tyre kaua bei ya Matairi Dunlop Japan bei ya kutupa idadi utakayo... harafu watu wananunua wanaweka kwenye viduka vyao bei Twice... Tunaibiwa sana yaani na hawa Wafanya biashara ndio Maana Magufuli hawapendi anajua kuwa ni majizi yanaibia Masikini... Tyre la Nas Tyre la bei kama 100,000 Kitaa wanauza 230,000 nini Maana yake???
Hizo Bridgestone agent wao Mkuu Yupo pale Vingunguti anauza kwa bei Poa kabisa na Tairi za YANA pia hawa hawa Ma agent uchwara bei zao ni Twice.. nilipowagundua nilikasirika sana nitawapingeni sana...