Bernie Fikiri
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 288
- 197
Hongera sana
Natarajia kuanzisha kiwanda cha kuchakata matairi chakavu na kutumia malighafi itokanayo kutengeneza bidhaa mbali mbali kama rubber carpets na nyingine nyingi ambazo ni siri ya kibiashara kwa sasa. Mniombee
Hapana hayachomwi kabisa, angalia hiyo instructional videoWazo zuri kiongozi ila jiandae na kodi rukuki! NEMC they are not better hapa lazimu wakupurure! Sijui unayachakataje? Kama kuyayeyusha hapo ndo shughuli na NEMC itakapokuwapo! Fire they are not friendly jiandae, OSHA kero nyengine!
Ofcourse hizo waya zina soko lililotayari kabisa hapa hapa, kwenye processing line kuna sumaku kali inayotenganisha ferous metal zote kutoka kwenye chenga chenga za mpiraMkuu matairi mengi hua yana waya fulani ndani yake,
Je wewe umejipanga vipi kuhusu matumizi ya hizo waya? Au wewe utakua unachukua material ya rubber tuu na hizo metals unazitupa? Hizo waya pia ni deal kubwa mkuu,
Nikutakia kila la Kheri kwa utunzaji wa mazingira na shughuli uliyoiamua, GOOD LUCK.
ona huyu kengemtafute lowassa akupe mtaji