Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,384
- 2,963
Ovyoooo. PRIMITIVE!!!Mbona waisilamu munalazimisha sana kwenda kwa makafiri mnaenda kufanya nini
Ovyoooo. PRIMITIVE!!!Mbona waisilamu munalazimisha sana kwenda kwa makafiri mnaenda kufanya nini
Serikali ya Trump kupitia Department Of Justice wamekata rufaa. Hata hivyo mahakama imetupilia mbali rufaa hiyo. Ndiyo unapoweza kuwashangaa wale wanaodhani wanaweza kufananisha demokrasia ya US na ya kwetu. Pathetic.