Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 832
- 770
Inabidi tuwe tunafikisha ujumbe nyuma ya keyboard mana live live wanatamani hata kututoa kwenye payrollMtajuana wenyewe
Akiundiwa kamati ya roho mbaya anaunga juhudi hata wiki haipitiTatizo lao wanadhani kila mtu anakubaliana na mawazo yao, na kila mtu anaunga mkono mambo yao.
Ile dhana kwamba kila msanii ni wakwao, sasa huyu kakataa kutumika hovyo, utasikia ni CHADEMA huyo.
Wamesajili msanii nguli huyu hapaTatizo lao wanadhani kila mtu anakubaliana na mawazo yao, na kila mtu anaunga mkono mambo yao.
Ile dhana kwamba kila msanii ni wakwao, sasa huyu kakataa kutumika hovyo, utasikia ni CHADEMA huyo.
Yaani hawa machoko sijui wanakitakia nn chama changuWamesajili msanii nguli huyu hapaView attachment 1243114
Lady Jay Dee anajitafutia makuu, sasa hivi atapewa kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedhaTatizo lao wanadhani kila mtu anakubaliana na mawazo yao, na kila mtu anaunga mkono mambo yao.
Ile dhana kwamba kila msanii ni wakwao, sasa huyu kakataa kutumika hovyo, utasikia ni CHADEMA huyo.
CCM ndio MATAGA wenyewehivii jamani naomba mnielewesheni nini maana ya neno ”MATAGA".
Nimona likitumuka sana lakin kwa bahat mbaya sifaham maana au kiref chake...mwenye ufaham tafadhali aniondoe ujinga.
Hahaha tumesha wazoea, wampe tu, hata ya ukwepaji kodi.Lady Jay Dee anajitafutia makuu, sasa hivi atapewa kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha
Hahaha huyu hata Gwajima kamshindwa, dege haliliki hiloWamesajili msanii nguli huyu hapaView attachment 1243114
Hahaha ndio wako ikulu au lumumba?Akiundiwa kamati ya roho mbaya anaunga juhudi hata wiki haipiti
Make Tanzania great againMataga ni nini........?.......
Kila mahali naona hii.......