Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Wakati wa saga la Tegeta Escrow alikuwa katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini, panga lilipopita la kuwajibishwa halikumuacha naye alionekana kuwa ni mtuhumiwa.
Lakini baada ya tume iliyoundwa na rais kufanya yake alionekana hana hatia na kupewa kazi nyingine.
Sasa amerudi tena katika sekta kubwa tena muhimu mno kwa nchi yoyote ile.
Naomba kujuzwa wakati wa saga la Tegeta Escrow ali play part gani mpaka kufikia hatua ya kuwa mmoja wa waliowajibishwa, na kwanini tume iliona kwamba hana makosa na serikali kuamua kumpa tena kazi nyingine kabla ya hii ya sasa ya kamishna msaidizi wa TRA??.

Last edited by a moderator: