Maswali yanayoulizwa Utumishi

Maswali yanayoulizwa Utumishi

Sam mirror

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
1,461
Reaction score
2,245
Husika na kichwa cha habari apo, mdogo wenu nakuja tena kwa Mara nyingine nilikuwa naomba kujua maswali mbalimbali yanayoulizwa utumishi wakati wa usaili kwa watu wa,

- afisa utumishi au human resource management.

Na jinsi ya kuyajibu kwa ufasaha pia kwa wale mlioweza kufaulu interview nitashukuru nikipata mbinu mbalimbali.

Asante.
 
 
Karibu katika utumishi nakuombea upenye.mimi nimefanya interview mbili tu na ya pili nikafanikiwa nafas zilikuwa 4 na waombaji tuliopenya kwenda oral tulikuwa 36
Kwa jina la yesu nitakuwa miongoni mwa watakao fanikiwa, hongera sana kwa kufaulu.
 
Kapambane na maHRs wenzio [emoji28][emoji28][emoji28]utajua iyo fani yenu mna roho mbaya
Hapana inategemea na hurka ya mtu ndugu yangu, pole kwa yaliyo wahi kukupata ila naamini ipo siku utakutana na watu sahihi kwenye maisha yako.
 
Karibu katika utumishi nakuombea upenye.mimi nimefanya interview mbili tu na ya pili nikafanikiwa nafas zilikuwa 4 na waombaji tuliopenya kwenda oral tulikuwa 36
Na je written huwa wanataka ujibu vipi na wanauliza maswali gani kaka.
 
Karibu katika utumishi nakuombea upenye.mimi nimefanya interview mbili tu na ya pili nikafanikiwa nafas zilikuwa 4 na waombaji tuliopenya kwenda oral tulikuwa 36
Kaka mbn kimya mpaka sasa naomba muongozo
 
Back
Top Bottom