MASWALI YANAYOTESA WANA JF

MASWALI YANAYOTESA WANA JF

Rwekaxa Autonomy

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2021
Posts
460
Reaction score
500
Heshima kwenu WAKUU!!!
Natumaini mmeamka salama kuna mitazamo naamini mim na baadhi ya ndugu zangu humu yanatutesa na yanafikirisha
1: iv n kweli 1+1=2 kwa nini isiwe 11?

2:kuna methali inasema haraka haraka haina haraka..,je kama kuna mgonjwa au ishu yoyote inabidi ifanywe haraka KWA methali hii si inapoteza MAANA?

3:Ni muda gani ambao binadam uwa anaongezeka kimo? Asubuhi,mchana au Usiku na je nkijipima kimo kwa muda utakaosema mda huo nitaona tofauti ya jana na leo ?

4:Tunaambiwa mwaka una siku 365 na robo ...Je iyo robo inatoka wapi!?

Naamini kuna wataalamu umu,wahenga na wasomi wanaweza kutatua maswali baadhi yake.....Naamini hata WAKUU mnayo mengi yanasumbua kichwani hebu YAWEKE HAPA wajuzi watusaidie kutupa majibu.
"JF chimbuko la Elimu"

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, hayo ni maswali yako, sidhani kama ni kweli maswali hayo yanatutesa wana JF. Wengi wetu sisi wana JF tunateswa na swali la, "Nitapata wapi hela leo?"

Anyway, Nitasaidi kidogo kujibu swali la kwanza!
Tujifunze na kufahamu kwanza, 1 ni nini, 2 ni nini na 11 ni nini. Lakini pia alama + ni nini, tukishajua hivyo kwa hakika tutapata jibu kwa swali hilo

Niachie uwanja wa wengine kuendelea...
 
Mkuu, hayo nkimaswali yako, sidhani kama ni kweli maswali hayo yanatutesa wana JF. Wengi wetu sisi wana JF tunateswa na swali la, "Nitapata wapi hela leo?"

Anyway, Nitasaidi kidogo kujibu swali la kwanza!
Tujifunze na kufahamu kwanza, 1 ni nini, 2 ni nini na 11 ni nini. Lakini pia alama + ni nini, tukishajua hivyo kwa hakika tutapata jibu kwa swali hilo

Niachie uwanja wa wengine kuendelea...
Nashukuru mkuu...KWA iyo tunateswa na pesa uko sawa mkuu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nakujibu swali la 4.

Jibu ni rahisi tu kuwa dunia hutumia siku 365.2422 ambazo ukadiria ni sawa na siku 365.25 ili kukamilisha kulizunguka jua.

Yaani maana yake inachukua siku hizo 365 na masaa 6 kwa dunia kukamilisha mzunguko mmoja kulizunguka jua. (Ndio mwaka unavyopimwa).

Swali la kwanza ajabu basi kwenye binary system 1+1 ni sawa na 10. 😂
 
Nakujibu swali la 4.

Jibu nj rahisi tu kuwa dunia hutumia siku 365.2422 ambazo ukadiria ni sawa na siku 365.25 ili kukamilisha kulizunguka jua.

Yaani maana yake inachukua siku hizo 365 na masaa 6 kwa dunia kukamilisha mzunguko mmoja kulizunguka jua. (Ndio mwaka unavyopimwa).

Swali la kwanza ajabu basi kwenye binary system 1+1 ni sawa na 10.
Ungeniongezea nyama ingependeza zaid ila

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nakujibu swali la 4.

Jibu ni rahisi tu kuwa dunia hutumia siku 365.2422 ambazo ukadiria ni sawa na siku 365.25 ili kukamilisha kulizunguka jua.

Yaani maana yake inachukua siku hizo 365 na masaa 6 kwa dunia kukamilisha mzunguko mmoja kulizunguka jua. (Ndio mwaka unavyopimwa).

Swali la kwanza ajabu basi kwenye binary system 1+1 ni sawa na 10.
1+1=10 mkuu chalii

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Heshima kwenu WAKUU!!!
Natumaini mmeamka salama kuna mitazamo naamini mim na baadhi ya ndugu zangu humu yanatutesa na yanafikirisha
1: iv n kweli 1+1=2 kwa nini isiwe 11?

2:kuna methali inasema haraka haraka haina haraka..,je kama kuna mgonjwa au ishu yoyote inabidi ifanywe haraka KWA methali hii si inapoteza MAANA?

3:Ni muda gani ambao binadam uwa anaongezeka kimo? Asubuhi,mchana au Usiku na je nkijipima kimo kwa muda utakaosema mda huo nitaona tofauti ya jana na leo ?

4:Tunaambiwa mwaka una siku 365 na robo ...Je iyo robo inatoka wapi!?

Naamini kuna wataalamu umu,wahenga na wasomi wanaweza kutatua maswali baadhi yake.....Naamini hata WAKUU mnayo mengi yanasumbua kichwani hebu YAWEKE HAPA wajuzi watusaidie kutupa majibu.
"JF chimbuko la Elimu"

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Namba 2 ni Haraka haraka haina baraka,sio haraka haraka haina haraka.
 
Hayo maswali ya watoto wa shule ya Msingi Mkuu.

Hakuna swali lolote la maana na gumu uliyouliza

Mtu yeyote aliyekuwa Makini sekondari hayo maswali anajibu achilia mbali waliofika vyuo vikuu.

Lakini kama ulikuwa unajificha vichakani lazima uone maswali hayo Magumu.

Shule! Shule! Shule
 
Heshima kwenu WAKUU!!!
Natumaini mmeamka salama kuna mitazamo naamini mim na baadhi ya ndugu zangu humu yanatutesa na yanafikirisha
1: iv n kweli 1+1=2 kwa nini isiwe 11?

2:kuna methali inasema haraka haraka haina haraka..,je kama kuna mgonjwa au ishu yoyote inabidi ifanywe haraka KWA methali hii si inapoteza MAANA?

3:Ni muda gani ambao binadam uwa anaongezeka kimo? Asubuhi,mchana au Usiku na je nkijipima kimo kwa muda utakaosema mda huo nitaona tofauti ya jana na leo ?

4:Tunaambiwa mwaka una siku 365 na robo ...Je iyo robo inatoka wapi!?

Naamini kuna wataalamu umu,wahenga na wasomi wanaweza kutatua maswali baadhi yake.....Naamini hata WAKUU mnayo mengi yanasumbua kichwani hebu YAWEKE HAPA wajuzi watusaidie kutupa majibu.
"JF chimbuko la Elimu"

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

A
1+1=2 kihesabu
1+1=11 kimpangilio WA namba.
1+1= 100 au namba yoyote kutegemeana na majibu ya kifalsafa, kiimani, au kisaikolojia.
Inategemeana unataka jibu gani.

B;
Haraka haraka haina baraka!
Kila methali inamuktadha wake.
Ndio maana kuna methali nyingine inasema; Chelsea chelewa utakuta mwana si wako.

Hivyo kila methali inamuktadha wake.
Hivyo ni Akili ya mtumiaji ndio itaamua athari za methali endapo atapatia au atakosea kuitumia muktadha sahihi.

C;
Ni muda gani mtu au kiumbe kinakua?
Kasome utangulizi wa mada ya Ukuaji na maendeleo ya viumbe " GROWTH AND DEVELOPMENT OF ORGANISMS"

Ni lazima ujue kiumbe kinajengwa na Cell> Tissue> organs> organ systems> organism.

Kiumbe kinakua pale Seli zake za mwili zinapojizalisha. Lakini kwenye seli kuna kitu kinachoitwa Gene ambazo zitaamua ukue mpaka kiwango gani,
Lakini Gene hizo zinaweathiri na Lishe ndogo au Maradhi mpaka mtu ukuaji wake usifikie kiwango chake sahihi cha ukuaji kulingana na Genetic makeup yake na ukoo wake.

Mtu anakua pale seli zinapojizalisha, mtoto mdogo asipopewa lishe, inaathiri ukuaji wake au akiumwa ni kwamba virusi au bakteria zinashambulia seli zake na kuzorotesha ukuaji wake.

Zingatia kunatofauti ya ukuaji wa mwili na maendeleo ya Mwili, kunenepa sio ukuaji Bali ni maendeleo ya Mwili.

Mtu haoni ukuaji wa mtu mwingine au wake kutokana sababu za Sayansi ya mwendokasi au mjongeo. Macho ya mwanadamu hayawezi Kuona Jambo linalojongea taratibu Sana wala linalokimbia Sana.
Hii Kwa wanafizikia watakuja Kueleza.
Ila mfano mdogo nnaoweza kukupa ni Ukizungusha Tairi la baiskeli. Ukizungusha Kwa Kasi Sana macho yako yatajikuta hayazioni njiti na hata tairi unaweza ukaliona Kama limesimama kumbe linazunguka.

Hivyo jibu la swali lako ambalo ni dogo Sana. Kunatokana na sababu kuwa, macho yetu yana-limit ya kuona mambo yenye mjongeo mdogo Sana au mkubwa Sana.

D
Dunia inasiku 365¼ hiyo ¼ inatoka wapi.

Hii unatokana na kuwa miezi haina siku zinazolingana, kuna miezi inasiku 28,29,30, na 31.
Kama siku katika mwezi zingekuwa Constant basi hiyo Robo au nusu isingejitokeza.

Haya nafikiri umejibiwa
 
Sawa mkuu ila umenijib kibabe ....
 
Back
Top Bottom