Maswali ya written interview kama water technician

Maswali ya written interview kama water technician

inshaallah

Member
Joined
Mar 22, 2018
Posts
14
Reaction score
27
Habari wakuu!

Guys kwa yeyote aliwahi kufanya interview ya written kwenye mashirika ya DAWASCO( DAWASA,MTUWASA etc) Kama Water Technician naomba ashee maswali ambayo alikutana nayo!

Asante.
 
Soma sana kuhusu fluid dynamics (only basics), Pump (hapa ni muhimu ujue kila kitu) na organization stuffs.
 
Ngeshangaa kwa haya majina nliyoona wameitwa,,,, nikose hizi Mada humu za kuulizana mtu anatoboaje utumishi

Nakumbuka na Mimi mwezi January mwaka huu kwenye sekta yangu ya afya yaliyonikuta watu wengi nafas chache.
 
Habari wakuu!

Guys kwa yeyote aliwahi kufanya interview ya written kwenye mashirika ya DAWASCO( DAWASA,MTUWASA etc) Kama Water Technician naomba ashee maswali ambayo alikutana nayo!

Asante.
Ukisha zoea kuibia kamwe hutaacha. Kijana badilika.
 
1.watakuuliza aina za pipe Hili swali tegemea kulikuta
Me nishafanya interview pale changombe ya utumishi.ok subir nije PM tuyajenge nahisi wewe Ni classmate wangu coz Na mimi nimemaliza WI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali niloyakuta ( ninayo yakumbuka)
1) techniques za kujua kuwa kuna leakage kwenye pipes
2) Causes of irregular water table
3) Functions of water reservoirs
4)vitu gani vya kuangalia kabla hujatreat waste water
Hope itawasaidia ambao wataitwa kwenye interview huko badaye Kama water technician!
 
Mimi nilishawahi kufanya interview idara ya maji Arusha, maswali yake yalikuwa ya kujieleza halafu general hayahusiani kabisa na ishu za maji, kwahiyo sio rahisi kutabiria maswali we jiandae kulingana na nafasi uliyoitwa
 
Back
Top Bottom