Miss Bantu
Senior Member
- Apr 30, 2012
- 153
- 149
Maswali gan hupend kuulizwa na girlfriend/ boyfriend wako!? me binafsi kuna maswal mawili sipend kabisa kuulizwa sababu ntakudanganya tu... eti ushawah kuwa nao wangapi!? huwa nawaambia watatu tu baby halafu wa kwanza na wa pili hata sikufanya nao walikua watoto wa geti sana pia na mimi nilikua naogopa.
Hahahahha, la pili ni tukiwa lodge halaf unaniuliza "baby hapa umepajuaje!? mostly nawajibu nmeGoogle afu napotezea kidizain.... vipi kwako!!!?
Eti una mpango gani na mimi au unataka kunichezea tu uniache? Najibu sina mpango wa kukuchezea lakini hata ikitokea usistuke maana sijakukuta bikra
eti mimi ni wangapi kwako??? heheheee simple kwa sauti ya upole wa 11 hahahaaaa hataki asepe afu hili swali wanaume mnapenda kutuuliza nyooo hilo ndio jibu hutaki sepa mmxxiuuuuu
hahhaha wa 11 unamkata na stim kabisa, mdanganye danganye ata wapili aendelee kuhudumia... kuna time story zinaisha, unajikuta unauliza ata swali la kijinga tu afu ndo unajistukia mwenyewe
mtu mwenyew unakuta hata huduma hatoi yupo yupo tu kama bendera mim namchana makavu mbona vijana wangu wananielewa akiuliza tu jibu ndio hilo
Maswali gan hupend kuulizwa na girlfriend/ boyfriend wako!? me binafsi kuna maswal mawili sipend kabisa kuulizwa sababu ntakudanganya tu... eti ushawah kuwa nao wangapi!? huwa nawaambia watatu tu baby halafu wa kwanza na wa pili hata sikufanya nao walikua watoto wa geti sana pia na mimi nilikua naogopa.
Hahahahha, la pili ni tukiwa lodge halaf unaniuliza "baby hapa umepajuaje!? mostly nawajibu nmeGoogle afu napotezea kidizain.... vipi kwako!!!?
Baada ya kufanya mapenz unakuta jitu linakuuliza umelidhikaa......cpendi ichoo kituu Mxyuuuuuuuuuuuuuu
Ila kilambalambila kila swali huwa lina maana kwa muulizaji ujue?ndo hivyo maswali mengine huwa yanakera mkoroshokigori
hahahhha kwa hasira huyo muhudumu ndo atanmalizia ugwadu wote na hata buku hapati... kiherehere ka kaulizwa yeye
Hahahahaa nimefurahi sn coz hta mm napenda kuuliza hayo maswali,looh we ni noumaaah.
Ila kilambalambila kila swali huwa lina maana kwa muulizaji ujue?
Baby changu ni kibamia ama ukuni..!khee umesikia mi na tape measure ya kupima midushee!!
duh! baby kumbe wewe mkorofi hivi?