VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Na kwakuwa mwenye mabilioni,IPTL,amechukua chake kiutaratibu na Serikali ilijua. Je,uchunguzi na hatua zinazoendelea kuchukuliwa hivi sasa zinalenga niní? Wanaochunguzwa wanachunguzwa kwa makosa yapi hasa?
Kalete wachunguzi hata wale wa kutoka pale kibaha kwenu changanya na wale wa uchagani ukweli ni kwamba ile pesa ni mali ya IPTL hutaki unaacha.Mniwie radhi kwa kuuliza. Nauliza kwa mara ya mwisho. Sitauliza tena. Nitabaki kimya hata kisemwe au kifanywe niní. Sitauliza tena juu ya Escrow. Nitasubiria tu kashfa za bomba la gesi na sukari. Basi.
Kwakuwa tumeambiwa na Rais kuwa mabilioni yaliyokuwemo Escrow yote yalikuwa ya IPTL. Na kwakuwa tumeambiwa na kuaminishwa na Rais kuwa mabilioni ya Escrow yalilipwa au kupewa mwenyewe ambaye ni IPTL.
Na kwakuwa mwenye mabilioni,IPTL,amechukua chake kiutaratibu na Serikali ilijua. Je,uchunguzi na hatua zinazoendelea kuchukuliwa hivi sasa zinalenga niní? Wanaochunguzwa wanachunguzwa kwa makosa yapi hasa?
Hata nisipojibiwa,nitaridhika kama mwafrika!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
....nchi hii inaelekea kubaya maana jamaa haaminikimniwie radhi kwa kuuliza. Nauliza kwa mara ya mwisho. Sitauliza tena. Nitabaki kimya hata kisemwe au kifanywe niní. Sitauliza tena juu ya escrow. Nitasubiria tu kashfa za bomba la gesi na sukari. Basi.
Kwakuwa tumeambiwa na rais kuwa mabilioni yaliyokuwemo escrow yote yalikuwa ya iptl. Na kwakuwa tumeambiwa na kuaminishwa na rais kuwa mabilioni ya escrow yalilipwa au kupewa mwenyewe ambaye ni iptl.
Na kwakuwa mwenye mabilioni,iptl,amechukua chake kiutaratibu na serikali ilijua. Je,uchunguzi na hatua zinazoendelea kuchukuliwa hivi sasa zinalenga niní? Wanaochunguzwa wanachunguzwa kwa makosa yapi hasa?
Hata nisipojibiwa,nitaridhika kama mwafrika!
Mzee tupatupa wa lumumba,dar es salaam
Kalete wachunguzi hata wale wa kutoka pale kibaha kwenu changanya na wale wa uchagani ukweli ni kwamba ile pesa ni mali ya IPTL hutaki unaacha.
Wanachunguzwa kwa uvunjaji wa maadili ya uongozi wa umma.Mfano Waziri Tibaijuka aliomba msaada kwa ajili ya Shule halafu hela ikawekwa kwenye akaunti yake binafsi badala ya akaunti ya shule.Kama kiongozi alitakiwa ahakikishe pesa ile inaenda akaunti ya shule.
Sasa wengine wanafuatiliwa kwa misingi ya namna hiyo
Mimi sijui kwanini hata mlimani TV walikuajili mbugila kama wewe halafu huku unataka ukagombee ubunge pwani yani ulivyokichwa maji sijui nani atakuchagua.
Anayebisha kuwa pesa siyo za IPTL natilia shaka sana akili zake huenda zinashida mahala fulani.
Anayebisha kuwa pesa siyo za IPTL natilia shaka sana akili zake huenda zinashida mahala fulani.
Wanachunguzwa kwa uvunjaji wa maadili ya uongozi wa umma.Mfano Waziri Tibaijuka aliomba msaada kwa ajili ya Shule halafu hela ikawekwa kwenye akaunti yake binafsi badala ya akaunti ya shule.Kama kiongozi alitakiwa ahakikishe pesa ile inaenda akaunti ya shule.
Sasa wengine wanafuatiliwa kwa misingi ya namna hiyo
Muhongo je?
Pambafu mkubwa wee! Kama fedha zilikuwa za IPTL kwa nini hazikuwekwa katika akaunti yake na badala yake zikawekwa Tegeta Escrow?!
Binti yangu mjepo,tulia chamani na utetee vya haki. Ulikotoka nako wanatetea maslahi ya taifa. Au unataka kuhama tena?
Mzee Tupatupa