Maswali ya Msingi kwa wana-CCM wanaojitambua

Maswali ya Msingi kwa wana-CCM wanaojitambua

Hivi inamaana humu JF hakuna wana-CCM (wapenzi au wanachama) wanaojitambua wakajibu hoja za msingi? Je, ninyi wapiga kelele mnaoitwa Lumumba buku 7 hamjitambui?

Itashangaza....
 
hakuna atakayekujibu mkuu! waliopo hapa jf wameajiriwa kwa kazi moja tu ambayo ni kuitukana cdm na viongozi wake hasa dr.slaa na mh mbowe tu!
 
hakuna atakayekujibu mkuu! waliopo hapa jf wameajiriwa kwa kazi moja tu ambayo ni kuitukana cdm na viongozi wake hasa dr.slaa na mh mbowe tu!

Mkuu bujash, sasa taratibu tunaweza kuanza kuwaelewa na wana-CCM wa namna gani tunaodeal nao humu JF.

Kwa upesi mtu aweza kusema ni watoto fulani waliojazwa ujinga wa kutukana na kushambulia watu bila kujua kwanini wanafanya hivyo. Kama watakuwa watu wazima basi ni (wale walojitia ujinga au ni maamuma).

Japo kuna watu wengine hawapo kabisa katika makundi ya hapo juu. Nu watu makini na wanaojitambua zaidi ya kujielewa mf. Daudi Mchambuzi et al. Hawa si rahisi kuingia katika mada bila hoja ya msingi. Wanajadili mambo constructively.
 
Hivi uwanja wa Taifa ni wa CCM mpaka leo!!! kweli haya ni Maajabu CCM wanatuibia sana ipo siku lakini

Uwanja wa Taifa si mali ya CCM bali jengo la Umoja wa Vijana wa CCM pale barabara ya Lumumba/Morogoro ni mali yao. ila kwasababau ya kutokujua na povu watakalokuwa nalo it is possible kuchanganya madesa.
 
Majibu yako
1.Silipendi kundi linalojiita CCM,nilijiunga CCM kwa kusoma sera ya chama cha Mapinduzi..nilijiunga CCM nikiwa na akili timamu,kipindi hiko nikiwa Mlimani(UDSM),sikuwai kuwa chipukizi ndani ya CCM,ningesema nimeshawishiwa na wazazi,ila nilijiunga CCM baada kuelewa CCM sera na itikadi
2.Mambo matatu ya kujivunia
-CCM kukubali uwepo wa vyama vingi nchini Tanzania(maslai ya wengi)
-CCM kukubali serikali yake kutoa ruzuku vya siasa(ili kuviimalisha)
-CCM kukubali uhandikaji wa Katiba mpya(maslai ya wengi),pamoja CDM wanataka kugomea na kuvuruga mchakato
3.Tuandike majengo kumi ya matawi ya ccm
CCM sasahivi hawanunui viwanja sababu kila sehemu kuna viwanja vilivyonunuliwa na CCM au vilivyotolewa na wenye mapenzi na CCM....
Temeke mwisho kuna ofisi ya Tawi mpya tu,nenda Tegeta kuna ofisi pale,Mwanza zipo zaidi ya tatu,Ilala zipo sita.....!
 
Back
Top Bottom