Maswali ya kujiuliza kuhusu utumbuaji Tanesco.

neo1

JF-Expert Member
Sep 1, 2013
576
840
Sema kweli, Nayo kweli itakuweka huru.

Hapa naona utawala unajenga management yenye hofu.hakuna kiongozi atakaye kuwa na uthubutu wa kujaribu.

Je shida ilikuwa wap??.nini kilishindikana??.

je taratibu hazikufuatwa??.....

ukokotozi wa ghalama za uzalishaji,usafirishaji na uhudumiaji wa umeme haukuwa sahihi??.

kama shida ilikuwa kwenye kupandishwa kwa ghalama za umeme na mkurugenzi ametumbuliwa na bodi iliyobariki inafanya nn?.mbona haijavunjwa??

ivyo kwa matamko yenu ndo umeme hautapanda kwa muda gani kama ghalama tu za uzalishaji zinazidi kukua..je mtatoa ruzuku kwa muda gan??.
je mnaongeza vyanzo vingine vya uzalishaji ambavyo ni ghalama nafuu??.

Je nyonya damu IPTL na ESCROW mmepata ufumbuzi?..
kwa nini tuna gesi lakini ghalaza zetu za uzalishaji wa umeme ni kubwa??,
Je ni wapi tumekosea na tumepata utatuzi??

kuna wakati tunahitaji majibu zaidi ya utumbuaji..

maswali ni mengi.
 
Yote alishajibu muhonga the super minister ndio katengua tariff structure mpya vuta subira.
 
Back
Top Bottom