Maswali ya interview NAOT na HESLB

Hivi kweli hakuna mtu ambae amewahi kufanya interview utumishi kwa kada za auditor ii humu jamani,au roho mbaya tu?
 
Mkuu Macroeconomics inaingiliana na loan officer pia?
 
Mkuu uko vizuri interview haziwez kukusumbua tena kwa idadi hii utakuwa ushakula shavu serikalini.

Thanks umewasaidia vijana wa kada yako.
 
Hivi kweli hakuna mtu ambae amewahi kufanya interview utumishi kwa kada za auditor ii humu jamani,au roho mbaya tu?
Boss kama kuna mtu ana ile pdf ya english ya job vacany ads iliyotumwaga ya auditor 2 na loan officer naomba aitume nashida na job duties & responsibilities
 
Wakuu,ushauri please, kama hujawa shortlisted na hujaridhika na sababu iliyotolewa, nini cha kufanya? Nimejaribu kupiga zile namba za Malalamiko zinaita tu bila majibu.
 
Piga mara nyingi watapokea mzee
 
Wakuu,ushauri please, kama hujawa shortlisted na hujaridhika na sababu iliyotolewa, nini cha kufanya? Nimejaribu kupiga zile namba za Malalamiko zinaita tu bila majibu.
Wanekuambia ume-miss kitu gani kwenye applications zako..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…