Waliowahi kufanya hizi interview za NAOT wanapaswa kutupa muongozo.
Kwenye Archieves za PSRS inaonekana mwaka 2020, interview ya NAOT iliwahi kufanyika, hao wadau inabidi watie neno hapa ili tujue pa kuanzia.
Hata hivyo ngoja nianze na Job descriptions, nijichimbe job description moja baada ya nyingine naweza kuokota dodo ndani ya ukumbi wa CBLS siku ya Mkando