Mkuu hebu fafanua kidogo, unataka ku ajiliwa na kampuni yenyewe au Kampuni imepewa dhamana na makampuni/shirika lingine ili lifanye usaili on their behalf wao kama ma consultants.Ukijib maswal yang mafupi ndi ntakupa ushauri.wakuu,mambo vipi?kuna mwenye kujua hawa jamaa interview zao huwa wanauliza maswali gan hasa?