Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
- Thread starter
- #21
Namna hii,waandishi wasitandikwe na polisi wakat ndo ya waandisha na wanasiasa imekomaaUnajua hawa vijana wa uvccm ni watu wa ovyo sana ukiwakuta jioni wamekaa pale kruzin pub Mikocheni wanadanganyana wanaponda maisha na mademu name Mtoto wa lowasa na baadhi ya waandishi wa habari ambao ni mawakala wao wanajiona wao ndio kila kitu.
Kumbe ni swala la muda tu watashughulikiwa na Serikali itakayo kuwa makini