Mwafricani
Member
- Nov 26, 2014
- 31
- 18
Jamani mwenye uelewa wa maswali ya afisa utawala yanakuaje tafadhali?
Inategemeana umeitwa sekta binafsi au serikalini. Mhimu jua kujitambulisha,fahamu majukumu yaliyoko Ktk tangazo la kazi, fahamu historia, dira,dhamira na huduma au kazi zinazofanywa na ofisi hiyo.Jaman mwenye uelewa wa maswali ya afisa utawala yanakuaje tafadhali
Ni goverment kk, utumishi wa mahakamaAdministrative Officer! Kazi zake ni mtambuka kidogo. Inategemea ni Ofisi gani umeitwa na ni private au gov't