generationn Z
Senior Member
- Jun 30, 2025
- 154
- 166
Kama ni great thinker lazima ulione swali lake linamaana au katika ote waliohujiwa kuna aliyeenda kuwahoji hao watoto wa mtaani !Maswali hayana msingi wala cheo.
Sasa mfano wa hili swali la kusema eti watoto yatima mtaani huwa wengi, siku ya uchaguzi walikuwa wapi, namana alitaka wajae mtaani hiyo siku wale shaba au?Kama ni great thinker lazima ulione swali lake linamaana au katika ote waliohujiwa kuna aliyeenda kuwahoji hao watoto wa mtaani !
Doh nkae kmya
Hao mbuzi jana na leo uliwaona?maswali....
1-Miji mingi imekuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani tena katikati mjini. je wakati wa maandamano waliamia ktk makazi yapi mbali na mitaroni nk.?
2-kwa Mwanza na Dar es salaam nimewai ona kundi la mbuzi wakizurula wenyewe humo mjini pasipo kushambuliwa na binadamu. je kwa kipindi hiki cha maandamano hali kwa ha viumbe ilikuwaje?
3-....................nitaendelea
Walihojiwa, gazeti la mwananchi lilienda kuwahoji walipokua hizo siku za maandamano, wale wa ubungo walikimbilia kule kwenye ule msitu wa UD, waandishi wa mwananchui walienda hadi hilo eneoKama ni great thinker lazima ulione swali lake linamaana au katika ote waliohujiwa kuna aliyeenda kuwahoji hao watoto wa mtaani !
Doh nkae kmya
Makazi yao ni mtaani, nani aliwambia kua msikaeitaani mtakula shaba?Sasa mfano wa hili swali la kusema eti watoto yatima mtaani huwa wengi, siku ya uchaguzi walikuwa wapi, namana alitaka wajae mtaani hiyo siku wale shaba au?
Nilikua na maswali kama yako, ila nilipowasikiliza wakihojiwa ndio nilielewa nini kiliendelea.Makazi yao ni mtaani, nani aliwambia kua msikaeitaani mtakula shaba?
Hao watoto wa mtaani hawakua na tv wala redio na tangazo lilitolewa tbc wakati mitandao imezimwa nani angewapa taarifa hawa watoto wakimbilie mbali huko?
Ushuzi ukinuka siyo mpaka uambiwe nimejamba, kwani wao walishindwa kujiongeza kwamba mitaa haina watu wanapaswa wajichimbie!Makazi yao ni mtaani, nani aliwambia kua msikaeitaani mtakula shaba?
Hao watoto wa mtaani hawakua na tv wala redio na tangazo lilitolewa tbc wakati mitandao imezimwa nani angewapa taarifa hawa watoto wakimbilie mbali huko?
Wengi walitandikwa risasimaswali....
1-Miji mingi imekuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani tena katikati mjini. je wakati wa maandamano waliamia ktk makazi yapi mbali na mitaroni nk.?
2-kwa Mwanza na Dar es salaam nimewai ona kundi la mbuzi wakizurula wenyewe humo mjini pasipo kushambuliwa na binadamu. je kwa kipindi hiki cha maandamano hali kwa ha viumbe ilikuwaje?
3-....................nitaendelea
Wengi walitandikwa risasi
InasikitishaWalihojiwa, gazeti la mwananchi lilienda kuwahoji walipokua hizo siku za maandamano, wale wa ubungo walikimbilia kule kwenye ule msitu wa UD, waandishi wa mwananchui walienda hadi hilo eneo
Waliulizwa kuhusu chakula, wakasema hiyo ndio ilikua tatizo, wakasema kuna wanajeshi waliwakuta Ila hawakuwapiga wakaomba chakula wakapewa. Wanasema pia wapo baadhi yao walikufa
AiseeWalihojiwa, gazeti la mwananchi lilienda kuwahoji walipokua hizo siku za maandamano, wale wa ubungo walikimbilia kule kwenye ule msitu wa UD, waandishi wa mwananchui walienda hadi hilo eneo
Waliulizwa kuhusu chakula, wakasema hiyo ndio ilikua tatizo, wakasema kuna wanajeshi waliwakuta Ila hawakuwapiga wakaomba chakula wakapewa. Wanasema pia wapo baadhi yao walikufa
Jamaa anawachukulia kuwa ni vichaa, walemavu wa akili. Hajui ni mazingira tu ila wanauweza wa kupambanua mamboUshuzi ukinuka siyo mpaka uambiwe nimejamba, kwani wao walishindwa kujiongeza kwamba mitaa haina watu wanapaswa wajichimbie!
Kabisa.Jamaa anawachukulia kuwa ni vichaa, walemavu wa akili. Hajui ni mazingira tu ila wanauweza wa kupambanua mambo