Maswali na Majibu: Uzi maalumu kwa ajili ya wanafunzi wa Open University Tanzania (OUT)

Hivi out Kuna course ya ICT? Ni miaka mingapi Kwa degree?
Wenye majibu tafadhali
 
Samahani Naomba kuuliza, kama nimefanya course ni elective na nikapata supp.
Je naweza kuomba iyo course ifutwe kwenye kwenye Saris yangu?.
Yaan ionekane sijawahi kusoma course kama hiyo
Huwezi,lazima u supp tu.Hakunaga kamserereko hapo
 
Wakuu, naomba kuuliza kuwa je Bachelor's degree of science with education inakuwa na unit ngapi kuanzia mwaka wa kwanza mpaka wa tatu kwa ujumla? Na je mwanafunzi anatakiwa kulipa gharama gani kwa mwaka?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
WALE WANAOSOMA LIFE SCIENCE OPEN UNIVERSITY KUANZIA FOUNDATION COURSE BIOLOGY,COURSE ZA ZOOLOGY,BOTANY,NA ANY RELATED BIOLOGY COURSES INCLUDING NUTRITION KAMA UNA CHANGAMOTO YOYOTE NITAFUTE TUONE NI NAMNA GANI TUNAWEZA SAIDIANA.HUTAJUTA KUNIFAHAMU KARIBU SANA NJOO PM

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Open university wana foundation course yoyote ya afya?
Ipo Foundation course ambayo kuna masimo ya biology,chemistry na physics jumlisha na communication skills, development studies.ukifaulu hayo kwa wastani wa GPA ya 3.0 unaweza kujiunga na chuo chochote cha afya na inajilikana na TCU kwa taarifa zaidi nenda centre yoyote ya out watakuweka sawa zaidi

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Shukrani mkuu, je nikifaulu kwa kiwango icho naanzia ngazi gani? Diploma au degree?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…