Maswali na majibu special thread..

Tairus

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
680
Reaction score
1,068
Utangulizi.
Tunafunga mwaka watu tukiwa na mambo mengi kichwani guess what muda wa kucheka sasa.

Unachotakiwa kufanya ni kumtag mtu wako aje na akija utamuliza maswali yote ungependa kumuuliza kabla mwak huu haujaisha wadau tutakusapot kama kawaida.

Note sio maswali yote yanajibika mfano Tairus unafanya kazi wap?huo ni udukuz[emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…