GHOST RYDER
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 1,025
- 475
- Thread starter
-
- #41
MR 11. Alikuwa atumia muda mwingi kumsifu dk slaa badala ya kujenga hoja ya umasikini wa mtanzania.mpaka Mh Makinda akiingilia kati.
jee uchaguzi si umeisha
Aksante kwa updates!Je ni sahihi kwa Spika wa Bunge kutumia mfano wa Wajasiriamalim wa Kariakoo kama watu wasiokuwa na Ustaarabu na mipango katika kujadili mambo kama walivyokuwa wabunge hapo jana katika kuchangia Mpango wa Maendeleo 2011/12 - 2015/2016.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida hapo jana Jioni wabunge walitawaliwa na miongozo ya mara kwa mara hali ambayo iliamsha hisia na mkanganyiko wa mabo wakati mwingine huku MIC nyingi mjengoni zikiwa ON na sauti za lugha za vijembe zikisikika LIVE.
Hatua hii ya Spika inafuatia utaratibu mzuri alioutumia asubuhi hii Mh. mbowe ya Kuuliza muungozo baada ya kipindi cha Maswali na majibu kukamilika
Mh Mbowe aliomba kupewa Muongozo kufuatia Majibu ya Naibu Waziri ambayo alisema alidanganya katika ufafanuzi wake kuhusu mkataba wa Uwanja wa Ndege wa KIA
Spika: Kamuomba Mh. Mbowe alete maelezo yake kwa maandishi ili kuomba ufafanuzi zaidi
Na ndipo Mama akakumbushia sekeseke la jana kuwa utaratibu wa kuomba muongozo wa Spika unatakiwa kufanyika kama alivyofanya leo MH.MBOWE
Hivyo amewaomba Wabunge wasijidharau na kuwa kama watu wa Kariakoo
anasema hakuwa hata na hamu ya kuangalia kupitia luninga hapo jana kwa jinsi wabunge walivyobehave jioni hiyo
Hivi kuna zawadi kuanzisha thread?? Maana naona haina mshiko kabisa hii thread yako swali gani sasa hili