Acha ujinga wewe Mpumbavu. Hapo UKAWA nani unamfananisha na Musa wa Israeli??? Lowassa hawezi kuwa kama Musa, Musa hakuwa mwizi wala fisadi kama Lowassa. Ingefaa sana ukimfananisha Lowassa na mpiga filimbi wa Hammelin aliyekuwa akipiga filimbi na mapanya yakimfuta nyuma na watoto wadogo. Matokeo yake wote waliokuwa wakimfuata walitumbukia korongoni.
Kwa hio unataka tuwaamn hao vigeu geu wako wakina mbowe msigwa na mbatia?
Kama wanaweza hadi kuzgeuka kauli zao ?
Watashindwa kukugeuka ww mwananchi wa kawaida?
Tumuamn lowassa?
Khaaaaaa
Kwan mwaka 2008
Alipoiba akalazishwa ajiuzuru ulikuwa hujazaliwa?
Achen kujitia pamba masikion nyinyi
Hatuwez kuwaamn wanafiki kama wana ukawa
KWANI NAWEWE UMESAHAU MWAKA-2003 PINDI REPORT YA CAG ILIYOSOMWA BUNGENI KUHUSU KASHIFA YA UFISADI WA MAGUFULI WA BILLION.261 KWA UHUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI...AU ULIKUWA HAUJAZALIWA PIA...?????
Hahaahaaa!...kijana inaonekana hujitambui kabisa,kwa kifupi ata huyo Magufuli wako alishakumbwa na kashfa hiyo ya ufisadi wa nyumba za serikali labda wewe kama sio mfuatiliaji wa mambo ndo hulijui hili...SEMA TOFAUTI YAO NI KUWA "RAIS EDWARD LOWASSA" alionyesha ukomavu wake katika uongozi na pia katika kile kilichodaiwa KUMSAVE RAFIKIE JK(NA NDIO MAANA JK HUWA HAZUNGUMZII ISHU YA RICHMOMD AKIWA MAJUKWAANI)...akaamua kujiuzulu ila upande wa MAGUFULI yeye hakujiuzulu bhasiii!,ila kama ishu ni UFISADI...WOTE WANAHUSIKA TENA MAGUFULI YEYE NDO FISADI PAPA MAANA ALIPIGA BILLION.261 ZA NYUMBA ZA SERIKALI WAKATI MWENZIE "RAIS EDWARD LOWASSA" ALIPIGA BILLION.153 ZA RICHMOND...hivyo usijaribu kutuaminisha kuwa magufuli ni msafi kwa KUMWITA "RAIS EDWARD LOWASSA" ni jizi...sawaaa? NA UNAPOSEMA "RAIS EDWARD LOWASSA" HAENDI IKULU WEWE KAMA NANI LABDA??...MAANA KWA HOJA YAKO YA UFISADI UMEFAIL KABISA NA WATANZANIA HATUWEZI KUKUELEWA KWA KUWA TUMESHUHUDIA KWA MACHO YETU WENYEWE WATU WALIOKUMBWA NA KASHFA ZA UFISADI(CHENGE-MMEMPITISHA KURA ZA MAONI NA ANAGOMBEA UBUNGE BARIADI,TIBAIJUKA-MMEMPITISHA KURA ZA MAONI NA ANAGOMBEA UBUNGE BUKOBA MJINI,HIVYO HIVYO KWA NGELEJA NA PROF.MUHONGO) KWENYE REPORTS ZA BUNGE LA KUMI-AWAMU YA NNE CHINI YA UONGOZI WA "KIKWETE" NDO HAO HAO MMEWAPITISHA KWENYE KURA ZA MAONI NA KWASASA WANAGOMBEA UBUNGE...SASA NI BORA KUWAPA NCHI CHADEMA(CHAMA CHENYE FISADI MMOJA "RAIS EDWARD LOWASSA") AU CHAMA CHENYE MAFISADI LUKUKI CCM(Magufuli,Anna Tibaijuka,Prof.Sospeter Muhongo,William Ngeleja,Andrew Chenge)..???,NA KAMA "RAIS EDWARD LOWASSA" NI FISADI MBONA MMESHIDWA KUMSHTAKI MAHAKAMANI THEN AZUILIWE KUGOMBEA URAIS NA NEC KWA KESI HIYO MAANA AMESHAKUWA TISHIO KWA CCM...IKIWA MLIWEZA KUMSHTAKI MRAMBA MAHAKAMANI????...PLEAZ! JIBU VITU KWA HOJA YANI "POINT BY POINT"...
Vijisababu vya kijinga visitunyime rais bora
Tunataka strong
Kama ile ya rich monduli
Mtu akawekwa kat akafukuzwa
Sasa magufuli ameiba wap?
Mna kithibitisho gan??
Ebu twenden nA mzalendo magufuli
wew umerogwa na tena ni mgonjwa hujitambui.
ikulu sio ya mamaako.
utavimba upasuke lakini kaa ukijua lowassa ndio rais wako.
we ikulu ya mamaako?...lowassa labda awe rais wa mamaako!
Nimekaa nikatafakari sana, nikajiuliza sana, nikaamua na mimi kutoa maoni yangu juu ya mwenendo wa siasa hapa nchini Tanzania hasa kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Nimejiuliza maswali muhimu mawili (2) magumu ambayo nimeshindwa kupata majibu kusuhu huyu mgombea wa uraisi kupitia umoja wa vyama vya UKAWA.
1. Kwa nini vijana wengi hasa wasiokuwa na ajira, walalahoi na mamalishe humshabikia sana Lowassa wakati wasomi, wazee makini na kiujumla watu MAKINI wakimpinga? Je ni kwa sababu Lowassa ANAUCHUKIA umasikini? Je Lowassa akiwa raisi ataoneshaje kuwa ni kwel unauchukia umasikini kwa hawa mamalishe na hawa vijana wasiokuwa na kazi? Atafanya nini hasa kwa haya makundi anayopenda KUJIOSHEA wakati wa hoja zake za kutafuta kura? Nachokijua mimi hizo ni kauli za kisiasa tu katika kutafuta kura. Nasema hivyo kwa sabubu zifuatazo:-
a) Kwanza mimi siamini kama kuna urafiki kati ya TAJIRI na MASIKINI. Hakuna huo urafiki, haupo.
b) Nyuma ya Lowassa kuna watu kama Lostam, Kalamagi ambao wote ni matajiri. Lowassa anatumia umasiki wa haya makundi kuyalaghai akijua pia kuwa ni MASIKINI WA KUFIKIRI na wasiokuwa na uwezo wa kutafakari mambo.
c) Tatizo la ajira kwa vijana kwa sasa halitatuliki kwa njia yoyote, hata kama ni kujenga viwanda kila kata. Vijana wanaohitimu vyuo ni wengi sana kila mwaka. Uwiano wa kila kazi moja inayotangazwa kwa sasa ni 1:90. Na bado watu tunazaa kama hatuna akili nzuri. Tatizo la ajira kwa sasa sio tena kusema utajenga viwanda. Hebu kama kweli unataka kuwa raisi njoo na hoja tofauti ili watu MAKINI tukuelewe.
2. Kwa nini Lowassa amengangania sana uraisi? Kuna biashara gani pale ikulu? Hadi kufikia hatua ya kukisaliti na kukihama chama? Ana ajenda gani? Na kama ameweza kukisaliti chama kilichomlea tangu mwaka 1977 takribani miaka 38 atashindwa kuisaliti nchi kweli kwa miaka 5?
Lowassa kiujumla yuko na uroho wa madaraka, uraisi kwake ni kufa na kupona. Na mbaya zaidi anatumia kundi la vijana hasa wasiokuwa na ajira (wasiokuwa na uwezo wa kufikiria na kudadavua mambo) ambao ndo wengi kuwalaghai na kauli ya NACHUKIA UMASIKI wakati hakuna urafiki kati yake yeye tajiri na umasikini.
wew umerogwa na tena ni mgonjwa hujitambui.
ikulu sio ya mamaako.
utavimba upasuke lakini kaa ukijua lowassa ndio rais wako.
KWANI NAWEWE UMESAHAU MWAKA-2003 PINDI REPORT YA CAG ILIYOSOMWA BUNGENI KUHUSU KASHIFA YA UFISADI WA MAGUFULI WA BILLION.261 KWA UHUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI...AU ULIKUWA HAUJAZALIWA PIA...?????
Hahaahaaa!...kijana inaonekana hujitambui kabisa,kwa kifupi ata huyo Magufuli wako alishakumbwa na kashfa hiyo ya ufisadi wa nyumba za serikali labda wewe kama sio mfuatiliaji wa mambo ndo hulijui hili...SEMA TOFAUTI YAO NI KUWA "RAIS EDWARD LOWASSA" alionyesha ukomavu wake katika uongozi na pia katika kile kilichodaiwa KUMSAVE RAFIKIE JK(NA NDIO MAANA JK HUWA HAZUNGUMZII ISHU YA RICHMOMD AKIWA MAJUKWAANI)...akaamua kujiuzulu ila upande wa MAGUFULI yeye hakujiuzulu bhasiii!,ila kama ishu ni UFISADI...WOTE WANAHUSIKA TENA MAGUFULI YEYE NDO FISADI PAPA MAANA ALIPIGA BILLION.261 ZA NYUMBA ZA SERIKALI WAKATI MWENZIE "RAIS EDWARD LOWASSA" ALIPIGA BILLION.153 ZA RICHMOND...hivyo usijaribu kutuaminisha kuwa magufuli ni msafi kwa KUMWITA "RAIS EDWARD LOWASSA" ni jizi...sawaaa? NA UNAPOSEMA "RAIS EDWARD LOWASSA" HAENDI IKULU WEWE KAMA NANI LABDA??...MAANA KWA HOJA YAKO YA UFISADI UMEFAIL KABISA NA WATANZANIA HATUWEZI KUKUELEWA KWA KUWA TUMESHUHUDIA KWA MACHO YETU WENYEWE WATU WALIOKUMBWA NA KASHFA ZA UFISADI(CHENGE-MMEMPITISHA KURA ZA MAONI NA ANAGOMBEA UBUNGE BARIADI,TIBAIJUKA-MMEMPITISHA KURA ZA MAONI NA ANAGOMBEA UBUNGE BUKOBA MJINI,HIVYO HIVYO KWA NGELEJA NA PROF.MUHONGO) KWENYE REPORTS ZA BUNGE LA KUMI-AWAMU YA NNE CHINI YA UONGOZI WA "KIKWETE" NDO HAO HAO MMEWAPITISHA KWENYE KURA ZA MAONI NA KWASASA WANAGOMBEA UBUNGE...SASA NI BORA KUWAPA NCHI CHADEMA(CHAMA CHENYE FISADI MMOJA "RAIS EDWARD LOWASSA") AU CHAMA CHENYE MAFISADI LUKUKI CCM(Magufuli,Anna Tibaijuka,Prof.Sospeter Muhongo,William Ngeleja,Andrew Chenge)..???,NA KAMA "RAIS EDWARD LOWASSA" NI FISADI MBONA MMESHIDWA KUMSHTAKI MAHAKAMANI THEN AZUILIWE KUGOMBEA URAIS NA NEC KWA KESI HIYO MAANA AMESHAKUWA TISHIO KWA CCM...IKIWA MLIWEZA KUMSHTAKI MRAMBA MAHAKAMANI????...PLEAZ! JIBU VITU KWA HOJA YANI "POINT BY POINT"...
Tumia akili kufikiri na siyo masabauri hayo siyo maamuzi magumu bali ni maamuzi ya kipumbafu na kinafiki sumaye aliwezaje kuitumikia serikali akiwa waziri mkuu kwa miaaka kumi wakati mabaya yote ya CCM anayoitukanaa leo maamuzi yake alishiriki? Leo hii anapata wapi ujasiri wa kutuambia mabaya juu ya CCM wakati kwa miaka kumi alikuwa akifurahia ukuu aliopewa kwa kuhangaika kulipa visasi kwa baadhi ya watu aliowachukia akiwemo mtu mdogo afisa mifugo mkoa wa Dodoma wa wakati huo? Na juzi nimemsikia anadai eti CCM hawajui umuhimu wake alitaka afanyiwe nini kama waziri mkuu mstaafu tofauti na wenzake kama MSUYA, DR SALIMU MALECELA NA WARIOBA? Kwa kujona yeye ni bora kuliko wengine anaahidi kisasi kwa Kikwete, maana kwa nafasi yake akisema chama kilichompa ukubwa ni kibaya maana yake anamsema moja kwa moja mwenyekiti wa chama hicho hakuna mkubwa kuliko huyo.
kwa roho yake hiyo ya kisasi nawashangaa watu wanaochekelea ujio wa EL na FS upinzani kwakuwa wamekuja kuungamiza upinzani badala ya kuuimarisha ni nani mwenye akili timamu atakaye waamini malimbukeni hawa wanaohangaika kutafuta madaraka kwa nguvu?
Ukanda walioupanga kwa kujidanganya kuwa watatawala nchi hii kwa ujinga wao wa kikabila na ukanda imekula kwao. Hivi hata kama una matope kichwani kama ulivyo wewe Sumaye atakuambia nini juu ya CCM na umuamini, rushwa anayoisema alishindwa nini kuizuia kwa miaka kumi ya uwaziri mkuu wake leo hii akuaminishe anayosema umuamini? Msikurupuke tu kushabikia ujinga na tamaa ya madaraka kwa kudanganywa na mtu ambaye hata wilayani kwake alishindwa kuchaguliwa kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya chama chake hivi wewe unamfahamu SUMAYE kuliko Mzee Mkapa aliyemuita Mpumbavu? Jiulize hata kwenye dini mtu anabatizwa leo na leo hiii unampa uaskofu hiyo dini kaisoma lini na kuielewa misingi yake? Leo hii mtu kaslimu na tayari unampa uimamu je madrasa kasoma lini haiwezekani EDWARD NA FREDY WAINGIE CHADEMA LEO NA WAGOMBEE URAIS CHADEMA WALIIJUA LINI KATIBA YAKE NA SERA ZAKE? NDIYO MAANA MIMI nitachagua CCM kwakuwa EL NA FS wameenda na sera za ccm ndiyo wanazotumia na siyo za cdma lakini hata hivyo kwa nini top officers wote wa ukawa ni north zone ina maana watz wengine hawana sifa za kuwa wakuu wa ukawa mpaka north tu?
Mwenye akili atajua nini kilichoko nyuma ya pazia lakini wajinga mtaendelea kushabikia na kupandiwa ngazi ili kufanikisha malengo ya ukanda wa kaskazini kwa kudanganywa eti mnakombolewa hivi unakombolewa toka wapi huyo anayedai kukukomboa alishindwa nini kukukomboa kwa miaka kumi alikuwa waziri mkuu? Yale mashamba ekari miatano alizowadhululmu maskini wa Morogoro kwa kutumia nafasi yake ya uwaziri mkuu ndiyo ukombozi anaotuhadaa kutukomboa? Yeye na genge lao wapotelee mbali na ikulu hawataingia labda waingie kwa nguvu lakini si kwa ridha ya watanzania weye akili timamu
Kawadanganya vijana eti kila mmoja atampa utajiri kama zawadi za X-mas ..hivi maisha mtu unapewa kama shati la sikuu?
Nimekaa nikatafakari sana, nikajiuliza sana, nikaamua na mimi kutoa maoni yangu juu ya mwenendo wa siasa hapa nchini Tanzania hasa kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Nimejiuliza maswali muhimu mawili (2) magumu ambayo nimeshindwa kupata majibu kusuhu huyu mgombea wa uraisi kupitia umoja wa vyama vya UKAWA.
1. Kwa nini vijana wengi hasa wasiokuwa na ajira, walalahoi na mamalishe humshabikia sana Lowassa wakati wasomi, wazee makini na kiujumla watu MAKINI wakimpinga? Je ni kwa sababu Lowassa ANAUCHUKIA umasikini? Je Lowassa akiwa raisi ataoneshaje kuwa ni kwel unauchukia umasikini kwa hawa mamalishe na hawa vijana wasiokuwa na kazi? Atafanya nini hasa kwa haya makundi anayopenda KUJIOSHEA wakati wa hoja zake za kutafuta kura? Nachokijua mimi hizo ni kauli za kisiasa tu katika kutafuta kura. Nasema hivyo kwa sabubu zifuatazo:-
a) Kwanza mimi siamini kama kuna urafiki kati ya TAJIRI na MASIKINI. Hakuna huo urafiki, haupo.
b) Nyuma ya Lowassa kuna watu kama Lostam, Kalamagi ambao wote ni matajiri. Lowassa anatumia umasiki wa haya makundi kuyalaghai akijua pia kuwa ni MASIKINI WA KUFIKIRI na wasiokuwa na uwezo wa kutafakari mambo.
c) Tatizo la ajira kwa vijana kwa sasa halitatuliki kwa njia yoyote, hata kama ni kujenga viwanda kila kata. Vijana wanaohitimu vyuo ni wengi sana kila mwaka. Uwiano wa kila kazi moja inayotangazwa kwa sasa ni 1:90. Na bado watu tunazaa kama hatuna akili nzuri. Tatizo la ajira kwa sasa sio tena kusema utajenga viwanda. Hebu kama kweli unataka kuwa raisi njoo na hoja tofauti ili watu MAKINI tukuelewe.
2. Kwa nini Lowassa amengangania sana uraisi? Kuna biashara gani pale ikulu? Hadi kufikia hatua ya kukisaliti na kukihama chama? Ana ajenda gani? Na kama ameweza kukisaliti chama kilichomlea tangu mwaka 1977 takribani miaka 38 atashindwa kuisaliti nchi kweli kwa miaka 5?
Lowassa kiujumla yuko na uroho wa madaraka, uraisi kwake ni kufa na kupona. Na mbaya zaidi anatumia kundi la vijana hasa wasiokuwa na ajira (wasiokuwa na uwezo wa kufikiria na kudadavua mambo) ambao ndo wengi kuwalaghai na kauli ya NACHUKIA UMASIKI wakati hakuna urafiki kati yake yeye tajiri na umasikini.
Kumbe tatizo lako nimelifahamu wewe ndio walewale, umelewa mataputapu ya majizi ya ccm! Huyo kipipa wenu amewadanganya sasa kuwa wote ni wapumbavu nyang'au mbuzi mdogo wewe, nani aliempumbavu kati ya nyie vibaraka wa matajiri huku nyie mkisota na maisha ya bongo, wewe unaweza ukakaribia hata harufu ya utajiri wa 'ridhia uone', mtoto wa bwana yako wa mjengoni? Kibaka kama wewe unapewa nini wakati wenzio wamekula kwa spidi hivyo! Lofa na mpumbavu na pengine ni mngese pia ni ngedere kama wewe mwenye elimu ndogo na vihadithi vyako vya kipumbavu hivyo, mgao huo utabakia ni wa hao bwana nzenu ngedere kama wewe hupewi isipokuwa posho ya kuwapigia kampeni tu labda,
Jitu gonjwa
Halina nguvu
Fisadi
Tamaa
Saliti
Nafiki
King'ang'anizi
Kwnn anataka sana urais
Huyo atakuwa ana tamaaa
Visasi
Kurudisha gharama zake za uchaguzi
Hatuko tayr kuachilia jizi liende ikulu