Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,809
JAMBO.MOJA USILOLOJUA KUHUSU JOHN POMBE MAGUFULI.
Siku akiyozaliwa ni tarehe 29/10 na Tume ya Taifa ya Uchaguz imetangaza kuwa baada ya kupiga kura kura zitahesabiwa kwa siku tatu na baada ya hapo rais ataapishwa tarehe 29/10/2015.
Hivyo Rais wetu atakuwa siku anayoapa kuwa rais Siku hiyo hiyo atakuwa akisherekea Birthday Yake. Sherehe mbili ndani ya siku moja. Hapa urais Pale Birthday..
Magufuli
Magufuli
Magufuli
Ndo maana kwenye timu ya kampeni taifa amewekwa dkt mwakyembe
Na samwel sita
Wanajua wizi wote wa huyo mzee wenu
Na hamtatudanganya kitu
Na kiboko yenu Makongoro
Hahahhahah
Mwaka huu ikulu mapema asubuhi tu
Sikiliza ndugu yangu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri na ukadhani wote tunapaswa kufanana na wewe.
Hapo kwenye RED kunaonesha ukomo wako wa fikra. Tanzania ina ardhi kubwa kiasi gani isiyotumika mpaka useme tatizo la ajira halitatuliki? Au MADESA yanakufanya ufikiri Buguruni tu unapoishi?
Jiji la Dar es Salaam peke yake, lina watu walio kwenye ajira isiyo rasmi si chini ya 1,800,000. Watu hawa wote hawalipi kodi, au hata wale wanaolipa ushuru huishia kwenye posho za vikao vya Halmashauri. Nakupa tu changamoto, tafuata calculator unihakiki.
Watu 1,800,000 walipe just 1000 kwa wiki kutoka kwenye biashara zao za Mama Ntilie, Boda Boda, Mitumba, Mihogo, Samaki n.k = 1,800,000,000. (1.8bn)
Hiyo Bilioni moja nukta 8, izidishe kwa wiki 4, yaani iwe mwezi. Hapa utapata 7.2bn, sasa assume 1.2bn ziishie kwenye gharama za makusanyo, kwamba tumebaki na 6bn. Kama una uwezo wa kukusanya 6bn kwa mwezi na ukazirudisha pale pale zilipokusanywa kwa mandeleo ya waliozichanga (zingatia kwamba kodi ikiwa ndogo huwa rafiki) basi kuna kitu kinaweza kufanyika.
Kwa mwezi mmoja, tunaweza kununua nyumba 10 zilizo karibu na vituo vikuu vya daladala, kuzibomoa na kujnga soko la kutosha wafanyabishara 300. Kama leo tukijenga Temeke, mwezi ujao itakuwa zamu ya Keko, by the way, hata masoko mawili yanaweza kujengwa kwa mwezi mmoja. Ukiweza kuwawekea paa watu uliokuwa unawachaji 1000 kwa wiki, unayo basi sababu ya kuwachaji 2000 kwa wiki.
Nikukumbushe pia, ni nchi hii ndio kinara wa kugombania mazao na wakulima ilhali serikali haina mashamba yake. Huko ndio kwenye ajira hasa, lkn MADESA yanawafanya muamini kwamba kamwe haiwezekani.
Kuhusu kwa nini fulani anang'ang'ania madaraka, hili ni swali la kuwauliza CCM pia. Kama kwa miaka yote serikali ya chama kile kile ipo madarakani, mbinu zake ni zile zile za kuongeza kodi kwenye BIA na SIGARA na kukamua P.A.Y.E bila huruma, kwa nini wasifikirie kukaa pembeni?
'Chama kilichomlea'......how pathetic? Yaani wewe unaishi kwa fatherhood sympathy? Amsha kichwa ndugu yangu. Hii nchi haikupaswa watu kuuana sababu ya ardhi.
JAMBO.MOJA USILOLOJUA KUHUSU JOHN POMBE MAGUFULI.
Siku akiyozaliwa ni tarehe 29/10 na Tume ya Taifa ya Uchaguz imetangaza kuwa baada ya kupiga kura kura zitahesabiwa kwa siku tatu na baada ya hapo rais ataapishwa tarehe 29/10/2015.
Hivyo Rais wetu atakuwa siku anayoapa kuwa rais Siku hiyo hiyo atakuwa akisherekea Birthday Yake. Sherehe mbili ndani ya siku moja. Hapa urais Pale Birthday..
Magufuli
Magufuli
Magufuli
Jitu gonjwa
Halina nguvu
Fisadi
Tamaa
Saliti
Nafiki
King'ang'anizi
Kwnn anataka sana urais
Huyo atakuwa ana tamaaa
Visasi
Kurudisha gharama zake za uchaguzi
Hatuko tayr kuachilia jizi liende ikulu
Kwa hio unataka tuwaamn hao vigeu geu wako wakina mbowe msigwa na mbatia?
Kama wanaweza hadi kuzgeuka kauli zao ?
Watashindwa kukugeuka ww mwananchi wa kawaida?
Tumuamn lowassa?
Khaaaaaa
Kwan mwaka 2008
Alipoiba akalazishwa ajiuzuru ulikuwa hujazaliwa?
Achen kujitia pamba masikion nyinyi
Hatuwez kuwaamn wanafiki kama wana ukawa
Bado sijaona wa kunishawishi niipigie ccm kura, hata angesimama malaika jukwaani, amwage sera kupitia ilani ya ccm...... Never bora nisipige kura nijue sijamchagua
Na ndio maana mwaka huu ni lazima tuwaangushe mmetoka jeshi zima kama jeshi la farao linavyowafuata wana israel katikati ya bahari ya shamu, ni lazima mfe kwa mafuriko ya bahari ya maji chumvi jeshi lenu zima, nyang'au nyie! Mafarao kifo cha maji ndio stahili yenu, hamponi ndani ya bahari hii mnayodhani mtaivuka na vigari vyenu hivyo ,ni vifo vyenu sasa, UKAWA JUU! MUSA OYEEEE!