Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,296
- 13,583
Siku zote nawaambia vijana wa UKAWA akili chache
Ona sasa huyu mchumia pesa anayoyaongea
Nonsense
Toen hoja kwa hoja
Jibu hoja zangu hapo
Nmesema lowasa mgonjwa
Mnafiki
Mwizi wa rasilimali ameiba ranchi ya taifa na kuwapa wamasai wenye ng'ombe zake had ndugu zetu wakulima na wafugaj wanauana
Mwz
Aliiba kwenye Richmond
Bunge zma likathbitisha hilo
Na akawajibishwa .
Njoon na hoja
Sio kama za huyo mchumia pesa
huo ufisadi aliufanya akiwa chama gani?. na walichukua hatua gani juu yake?. UkAWA hakuna fisadi mafisadi wamejificha ugambani maana fisadi hawezi kuwa salama nje ya ccm. swala la ugonjwa usilisemee mwenyekiti wenu anatezi........ mbona hajamfukuza uenyekiti?. ilikuwa lazima awape wamasai maana ndio aliokuwa anawatumikia ka mbuge wao ulitaka awape wagogo?. Si msaliti nyinyi ndio wasaliti. katiba yenu inasema anayekubalika ndio achaguliwe nyie mkamukata mlitaka aende wapi na mafuriko ya watu waliokuwa nyuma yake?. Kamanda mmoja UKAWA ni sawa na magamba buku. LOWASA atawanyosha mwaka huu mtajuuuuta kumkata. lete hojaa na sio vioja.
Nenda upime leo ukikutwa mzima 100% uje nikupe hela unazotaka...
Wizi wake ulitungwa bungeni ili tu kuiokoa serikali dhaifu ya Kikwete...
Na ni wabunge hao hao walithibitisha kuwa Mhe. Lowassa akuwa ameiba hata senti tano za Richmond...
Rais dhaifu Kikwete naye pamoja na serikali yake walimsafisha...
Hii ni siasa wala si shughuli ya ukeketeji kwamba ukikeketwa unabaki na alama ya kudumu...!!
Mnafiki, mzandiki, tapeli ni mwenyekiti wenu dahifu.
Yeye ndo mwizi nambari 1; kaingia maskini anatoka akiwa tajiri.
Kalewa sifa anataka hadi kushindana na waliombeba kwa mbeleko...
Alotangulia katangulia...
Mlishaambiwa mjiandae kisaikolojia....!!! Je, ulimsikia juzi akisema msilaumiane kama ni maamuzi mlifanya wote...??
Bora "mwizi" aliyeongoka tunayemfahamu vizuri kuliko malaika tusiyemfahamu anaendelea kuishi pamoja na wezi...!!!
Kumbuka Tanzania inahitaji mabadiliko na muda muafaka ni sasa....!!
Yaaaan mwana ukawa hapo ndo umejipinda sasa?
Poor yu
Yaaan unauliA lowasa alipoiba tulimfanya nn?
Haha
1.tumlimuwajibisha
Akaachia ngaz na kurud kwao monduli
2.akafikiri tumesahau wiz wake akachukua fomu ya urais
Tukamla kichwa
Nimekaa nikatafakari sana, nikajiuliza sana, nikaamua na mimi kutoa maoni yangu juu ya mwenendo wa siasa hapa nchini Tanzania hasa kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Nimejiuliza maswali muhimu mawili (2) magumu ambayo nimeshindwa kupata majibu kusuhu huyu mgombea wa uraisi kupitia umoja wa vyama vya UKAWA.
1. Kwa nini vijana wengi hasa wasiokuwa na ajira, walalahoi na mamalishe humshabikia sana Lowassa wakati wasomi, wazee makini na kiujumla watu MAKINI wakimpinga? Je ni kwa sababu Lowassa ANAUCHUKIA umasikini? Je Lowassa akiwa raisi ataoneshaje kuwa ni kwel unauchukia umasikini kwa hawa mamalishe na hawa vijana wasiokuwa na kazi? Atafanya nini hasa kwa haya makundi anayopenda KUJIOSHEA wakati wa hoja zake za kutafuta kura? Nachokijua mimi hizo ni kauli za kisiasa tu katika kutafuta kura. Nasema hivyo kwa sabubu zifuatazo:-
a) Kwanza mimi siamini kama kuna urafiki kati ya TAJIRI na MASIKINI. Hakuna huo urafiki, haupo.
b) Nyuma ya Lowassa kuna watu kama Lostam, Kalamagi ambao wote ni matajiri. Lowassa anatumia umasiki wa haya makundi kuyalaghai akijua pia kuwa ni MASIKINI WA KUFIKIRI na wasiokuwa na uwezo wa kutafakari mambo.
c) Tatizo la ajira kwa vijana kwa sasa halitatuliki kwa njia yoyote, hata kama ni kujenga viwanda kila kata. Vijana wanaohitimu vyuo ni wengi sana kila mwaka. Uwiano wa kila kazi moja inayotangazwa kwa sasa ni 1:90. Na bado watu tunazaa kama hatuna akili nzuri. Tatizo la ajira kwa sasa sio tena kusema utajenga viwanda. Hebu kama kweli unataka kuwa raisi njoo na hoja tofauti ili watu MAKINI tukuelewe.
2. Kwa nini Lowassa amengangania sana uraisi? Kuna biashara gani pale ikulu? Hadi kufikia hatua ya kukisaliti na kukihama chama? Ana ajenda gani? Na kama ameweza kukisaliti chama kilichomlea tangu mwaka 1977 takribani miaka 38 atashindwa kuisaliti nchi kweli kwa miaka 5?
Lowassa kiujumla yuko na uroho wa madaraka, uraisi kwake ni kufa na kupona. Na mbaya zaidi anatumia kundi la vijana hasa wasiokuwa na ajira (wasiokuwa na uwezo wa kufikiria na kudadavua mambo) ambao ndo wengi kuwalaghai na kauli ya NACHUKIA UMASIKI wakati hakuna urafiki kati yake yeye tajiri na umasikini.
Ndo maana kwenye timu ya kampeni taifa amewekwa dkt mwakyembe
Na samwel sita
Wanajua wizi wote wa huyo mzee wenu
Na hamtatudanganya kitu
Na kiboko yenu Makongoro
Hahahhahah
Mwaka huu ikulu mapema asubuhi tu
b) Nyuma ya Lowassa kuna watu kama Lostam, Kalamagi ambao wote ni matajiri. Lowassa anatumia umasiki wa haya makundi kuyalaghai akijua pia kuwa ni ‘MASIKINI WA KUFIKIRI' na wasiokuwa na uwezo wa kutafakari mambo.
Tatizo la ajira kwa sasa sio tena kusema utajenga viwanda. Hebu kama kweli unataka kuwa raisi njoo na hoja tofauti ili watu "MAKINI" tukuelewe.
SOMA HII KWA MAKINI: Nafasi ya Urais sio nafasi ya kupata "kama zali". Hata uwe kiongozi mzuri kiasi gani huwezi kushtukizwa na kupewa mikoba ya nchi kirahisi rahisi tu. Lazima uwe umejipanga, umejiandaa na uko tayari.
Hotuba za Magufuli zinadhihirisha kuwa aliingia kwenye kinyang'nyiro kwa kujaribu....
Sidhani kama Tanzania ni maabara ya kuendelea kufanya majaribio ya akina Kikwete...bila lengo mahususi, dira na muelekeo unaoeleweka zaidi ya utukufu wa kushika atamu....!!
Unajua ukweli ukiujua wala nafsi yako haisumbui... Waleteni; tunawasubiri...!
Mnapojiandaa kuja kutukana watu kwamba ni wezi; mjitahidi na nyie wizi wenu muufiche...
La sivyo mjiandae kisaikolojia...
Mkija msizungumze ya Richmond peke yake; zungumzeni na ya EPA, Escrow, etc make wizi ni wizi tu...!!
We hujitambui,
Umepewa sh ngapi? Na mbowe
Pole sana; Dr. Magufuli kakosa hata Pombe kidogo ya kukupa..??
Kwanza nikuhakikishie wewe sio mtu makini. Na kama ulikuwa unadhani unakaribia hata kuwa mtu makini, unajidanganya...
Mtu MAKINI hawezi kukosea majina ya common figures kama hao...
Uandike Lostam badala ya Rostam au Kalamagi badala ya Karamagi, yet ujiite makini?!!!
Siku ukiwa makini utaanza kumkubali Lowassa...
Nimekaa nikatafakari sana, nikajiuliza sana, nikaamua na mimi kutoa maoni yangu juu ya mwenendo wa siasa hapa nchini Tanzania hasa kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Nimejiuliza maswali muhimu mawili (2) magumu ambayo nimeshindwa kupata majibu kusuhu huyu mgombea wa uraisi kupitia umoja wa vyama vya UKAWA.
1. Kwa nini vijana wengi hasa wasiokuwa na ajira, walalahoi na mamalishe humshabikia sana Lowassa wakati wasomi, wazee makini na kiujumla watu MAKINI wakimpinga? Je ni kwa sababu Lowassa ANAUCHUKIA umasikini? Je Lowassa akiwa raisi ataoneshaje kuwa ni kwel unauchukia umasikini kwa hawa mamalishe na hawa vijana wasiokuwa na kazi? Atafanya nini hasa kwa haya makundi anayopenda KUJIOSHEA wakati wa hoja zake za kutafuta kura? Nachokijua mimi hizo ni kauli za kisiasa tu katika kutafuta kura. Nasema hivyo kwa sabubu zifuatazo:-
a) Kwanza mimi siamini kama kuna urafiki kati ya TAJIRI na MASIKINI. Hakuna huo urafiki, haupo.
b) Nyuma ya Lowassa kuna watu kama Lostam, Kalamagi ambao wote ni matajiri. Lowassa anatumia umasiki wa haya makundi kuyalaghai akijua pia kuwa ni MASIKINI WA KUFIKIRI na wasiokuwa na uwezo wa kutafakari mambo.
c) Tatizo la ajira kwa vijana kwa sasa halitatuliki kwa njia yoyote, hata kama ni kujenga viwanda kila kata. Vijana wanaohitimu vyuo ni wengi sana kila mwaka. Uwiano wa kila kazi moja inayotangazwa kwa sasa ni 1:90. Na bado watu tunazaa kama hatuna akili nzuri. Tatizo la ajira kwa sasa sio tena kusema utajenga viwanda. Hebu kama kweli unataka kuwa raisi njoo na hoja tofauti ili watu MAKINI tukuelewe.
2. Kwa nini Lowassa amengangania sana uraisi? Kuna biashara gani pale ikulu? Hadi kufikia hatua ya kukisaliti na kukihama chama? Ana ajenda gani? Na kama ameweza kukisaliti chama kilichomlea tangu mwaka 1977 takribani miaka 38 atashindwa kuisaliti nchi kweli kwa miaka 5?
Lowassa kiujumla yuko na uroho wa madaraka, uraisi kwake ni kufa na kupona. Na mbaya zaidi anatumia kundi la vijana hasa wasiokuwa na ajira (wasiokuwa na uwezo wa kufikiria na kudadavua mambo) ambao ndo wengi kuwalaghai na kauli ya NACHUKIA UMASIKI wakati hakuna urafiki kati yake yeye tajiri na umasikini.
Jitu gonjwa
Halina nguvu
Fisadi
Tamaa
Saliti
Nafiki
King'ang'anizi
Kwnn anataka sana urais
Huyo atakuwa ana tamaaa
Visasi
Kurudisha gharama zake za uchaguzi
Hatuko tayr kuachilia jizi liende ikulu
By any means necessary; CCM itatoka tu. Uchambuzi wenu pamoja na maswali toka kwenye huu uzi hayana mashiko, wako graduates wengi wengi tu wanamsupport ENL/UKAWA/Chadema ..., wapo wazee wengi sana sana wanasupport opposition.