Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 1,707
- 8,686
Swali la baadhi ya wananchi;
Mhe. Waziri GwajimaD, hivi hawa wasaidizi wako hawana msaada hadi useme sisi tukuletee matatizo ya nchi nzima wewe?
JIBU: wasaidizi wangu wana msaada mkubwa na wanafanya kazi kubwa sana na kilichotakiwa ni iwapo hamjapata huduma kwao basi, mje rufaa ya malalamiko kuwa, sijahudumiwa. Sasa sivyo ilivyo kwani, baadhi yenu hampiti kwenye utaratibu rasmi wa huko Serikali za Mitaa yenu na Halmashauri na Wilayani na Mkoani mnaamua kuja moja kwa moja kutafuta Viongozi wa kitaifa. Hapa sasa ndiyo changamoto inapoanzia jamani?
MSIMAMO WANGU; Kwa kuwa, abishaye hufunguliwa, mimi hulazimika kufungua milango na mwisho kuwaelimisha na kuwarejesha kwenye utaratibu mliouacha na huko, mnapata huduma kisha mnakuja tena na shukrani nami nawapa tena waliowahudumia.
SWALI KWENU: hapa tulipofikia, mnashaurije? nami nifunge milango kwa abishaye hodi au sasa iweje? Tuboreshe pamoja mwelekeo, tumetoka mbali pamoja✍️🇹🇿
Tunasonga mbele na FAHAMU ELIMIKA CHUKUA HATUA [FAECH].
07 JULAI, 2025.
Huyu ni mbunge wa taifa , Mwenyezi Mungu amuongoze atakayekuwa Rais amteue kwenye nafasi zile 10 .Mh. Waziri Mpaka sasa kura yangu umeshapata ingawa haujachukua form
Naunga mkono hojaHuyu ni mbunge wa taifa , Mwenyezi Mungu amuongoze atakayekuwa Rais amteue kwenye nafasi zile 10 .
Huyu madam yupo vizuri
Watoto wanaishia kuvuta bangi wakiume na wakike wanaishia kuwa Malaya .
Mimi ni Mwalimu , nimefundisha Tandika secondary , Temeke na Taifa
Hizi Shule zipo DSM unakuta darasani watoto wapo zaidi ya 200-300
Kuna A B C D E F G
Shule hizi watoto % kubwa wanavuta bangi wezi , na wakike wanafanya Sana uzinzi kujichubua .
Huwa najiuliza taasisi Kama ustawi wa jamii na wizara ya Elimu zinashindwa kuajiri Psychologist hata mmoja ambaye atakuwa anasimamia malezi ya watoto na makuzi yao generally
Ukisema ulaumu wazazi yes Ila wazazi hawajasoma hawapo exposed kwa mambo mengi hasa parenting issue
Kuna faida gani Ku-brag mnafanya Kazi ikiwa mnazalisha Taifa la vijana walevi , wanaondekeza ngono na pombe na kubeti ndo hawa wanapata zero na kukimbilia bodaboda na mwisho wanakufa kwa ajali au kukatika miguu.
msiishie mitandaoni ingieni na field pia.
Mkuu Mimi nakukubali ur very smart and intelligent.Kuna wakati pamoja kuwa safari bado ndefu, jifunze basi kutambua hata mafanikio ya awali kisha toa maoni, usifikiri kazi yetu ni bure kabisa. Kuhusu vijijini, nako wanatufikia sana tena ndiyo zaidi. Wanatumia vitochi ndiyo maana huwaoni humu. Haya, pongeza haya 👇
Dr Gwajima picha Yako tunayo na tunaifahamu,Swali la baadhi ya wananchi;
Mhe. Waziri GwajimaD, hivi hawa wasaidizi wako hawana msaada hadi useme sisi tukuletee matatizo ya nchi nzima wewe?
JIBU: wasaidizi wangu wana msaada mkubwa na wanafanya kazi kubwa sana na kilichotakiwa ni iwapo hamjapata huduma kwao basi, mje rufaa ya malalamiko kuwa, sijahudumiwa. Sasa sivyo ilivyo kwani, baadhi yenu hampiti kwenye utaratibu rasmi wa huko Serikali za Mitaa yenu na Halmashauri na Wilayani na Mkoani mnaamua kuja moja kwa moja kutafuta Viongozi wa kitaifa. Hapa sasa ndiyo changamoto inapoanzia jamani?
MSIMAMO WANGU; Kwa kuwa, abishaye hufunguliwa, mimi hulazimika kufungua milango na mwisho kuwaelimisha na kuwarejesha kwenye utaratibu mliouacha na huko, mnapata huduma kisha mnakuja tena na shukrani nami nawapa tena waliowahudumia.
SWALI KWENU: hapa tulipofikia, mnashaurije? nami nifunge milango kwa abishaye hodi au sasa iweje? Tuboreshe pamoja mwelekeo, tumetoka mbali pamoja✍️🇹🇿
Tunasonga mbele na FAHAMU ELIMIKA CHUKUA HATUA [FAECH].
07 JULAI, 2025.
View attachment 3397495
Nimekutumia DM mamaSwali la baadhi ya wananchi;

Hoja nzito sanaWatoto wanaishia kuvuta bangi wakiume na wakike wanaishia kuwa Malaya .
Mimi ni Mwalimu , nimefundisha Tandika secondary , Temeke na Taifa
Hizi Shule zipo DSM unakuta darasani watoto wapo zaidi ya 200-300
Kuna A B C D E F G
Shule hizi watoto % kubwa wanavuta bangi wezi , na wakike wanafanya Sana uzinzi kujichubua .
Huwa najiuliza taasisi Kama ustawi wa jamii na wizara ya Elimu zinashindwa kuajiri Psychologist hata mmoja ambaye atakuwa anasimamia malezi ya watoto na makuzi yao generally
Ukisema ulaumu wazazi yes Ila wazazi hawajasoma hawapo exposed kwa mambo mengi hasa parenting issue
Kuna faida gani Ku-brag mnafanya Kazi ikiwa mnazalisha Taifa la vijana walevi , wanaondekeza ngono na pombe na kubeti ndo hawa wanapata zero na kukimbilia bodaboda na mwisho wanakufa kwa ajali au kukatika miguu.
msiishie mitandaoni ingieni na field pia.
Natunza kwa ajili ya vizazi. Wewe na mimi tutapita, JF itabaki, wanakuja binadamu wengine ujue. Wanijue sura zangu zote✍️Dr Gwajima picha Yako tunayo na tunaifahamu,
Haina haja ya kuweka picha kwa kila thread Yako.
Lete kesi moja nisikilize nione ushirikina au uzembe uzembe tu maishani mnasingiziana mambo hata hayapoNdugu wanaotunyanyasa kishirikina tunawapeleka wapi muheshimiwa, kama unaamini katika dini ushirikina lazma uamini pia