Maswali mengine magumu

Mtoto ameongea point za maana sana,wengi hatuwatendei wema wasichana wa kazi,wakati tunawachia watoto wetu wapendwa muda mrefu tuwapo makazini.....
 
Ni kitu chakufkiria kidogo mkuu. Kuna kisa cha hapa mtaani kwetu kuhusu dada wa kazi...mkuu ni ngumu kumesa
 
Mtoto ameongea point za maana sana,wengi hatuwatendei wema wasichana wa kazi,wakati tunawachia watoto wetu wapendwa muda mrefu tuwapo makazini.....
Inavyoonekana siku hizi ni kwamba pesa ina thamani zaidi hata ya watoto wetu!
Dunia imekwisha!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…