Yellow bone
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 256
- 330
Mkuu nikuulize jingine...Kuna mada pana sana zinahusiana na hii kitu humu ndani.Jaribu kutafuta
Post sent using JamiiForums mobile app
Nani alikuambia mwanadamu katokana na sokwe?Tuanzie hapaMkuu nikuulize jingine...
Hivi kama mwanadamu ametokana na sokwe...mbona mpaka leo sokwe yupo???
Theory za KiSayansi wanasema mwanadam ametokana na sokwe...Nani alikuambia mwanadamu katokana na sokwe?Tuanzie hapa
Post sent using JamiiForums mobile app
Sio kweli...km ni sokwe mbn hatuendelei kuzaa sokwe?Theory za KiSayansi wanasema mwanadam ametokana na sokwe...
Wewe unaamini hilo mkuu?Theory za KiSayansi wanasema mwanadam ametokana na sokwe...
Na kama watoto hukaa tumboni mwa mama mjamzito miezi 9,kwanini wanapozaliwa wasiwe na miezi tisa badala yake ndo kwanza anaanza siku ya kwanza????Sio kweli...km ni sokwe mbn hatuendelei kuzaa sokwe?
Sent from my Lenovo A6000 using JamiiForums mobile app
SiaminiWewe unaamini hilo mkuu?
Post sent using JamiiForums mobile app
Daaah...utata mkubwa mkuu,hata siamin iala natafakar sipati hitimishoWewe unaamini hilo mkuu?
Post sent using JamiiForums mobile app
Wewe unaamini kipi mkuu?Kuhusiana na hili suala?Daaah...utata mkubwa mkuu,hata siamin iala natafakar sipati hitimisho
Ukiwa tumboni mwa mama yko huhesabiki km upo duniani...ndy maana hata mtoto njiti aliyezaliwa kabla ya miezi 9 ..wanahesabu ni tatizoNa kama watoto hukaa tumboni mwa mama mjamzito miezi 9,kwanini wanapozaliwa wasiwe na miezi tisa badala yake ndo kwanza anaanza siku ya kwanza????
wachina huanza kumwesabia mtoto umri tangu akiwa tumbon.so akizaliwa anakuwa na miezi 9 kuendelea.siye wengine huwa tunahesabia kuanzia anavyo zaliwa kwa sababu ndiyo anaanza kupambana kharaha zote za dunian.Na kama watoto hukaa tumboni mwa mama mjamzito miezi 9,kwanini wanapozaliwa wasiwe na miezi tisa badala yake ndo kwanza anaanza siku ya kwanza????
Naanza na hili
1.je dunia hii tunayoishi ina mwanzo wake na mwisho??????je mwisho wake ni wapi na mwanzo wake ni wapi?maana kama tukienda kusini katufiki mwisho..na tukienda kaskazin hatutafika mwisho!!!
Kazi kwenu wadau...najua yapo maswali mengi sana,
endelezeni mengine...
Dunia haina mwisho...kwn huko south ukifika kuna shimo au unaelekea sehemu ingine ya dunia?Dunia ina mwisho mkuu. Ukienda kusini utaishia south pole na ukienda kaskazini utaishia North pole .... cha muhimu ni kujua your starting point na how to navigate correctly, otherwise utazunguka milele....
Umewahi kwenda na hukufika mwisho ? Kama hujawahi jaribu mwisho upoNaanza na hili
1.je dunia hii tunayoishi ina mwanzo wake na mwisho??????je mwisho wake ni wapi na mwanzo wake ni wapi?maana kama tukienda kusini katufiki mwisho..na tukienda kaskazin hatutafika mwisho!!!
Kazi kwenu wadau...najua yapo maswali mengi sana,
endelezeni mengine...
Wewe ulitarajia kufika mwisho upi?Naanza na hili