1.Je ukawa imesajiliwa kama chama au kitu
gani?
2.Je ikitokea ukawa ikashinda nafasi ya
Urais,Rais atakuwa wa ukawa au wa chama
kilichoshinda?
3.Naomba kujua nafasi ya NLD ndani ya
ukawa,Je itasimamisha wabunge maeneo gani
inapokubalika?
NB
Kama huna cha kucomment samahani pita kimya
lugha za matusi sihitaji
Ni mimi mpiga kura huru asiyekuwa na chama!