Maswali kwa Twaweza (By MCL)



Hivi TCRA hii haiwahusu ee?
 
Magamba yanachungulia tuu huu uzii...#HapaZikaTuu trh 25 oct....
 
Mbona inajulikana wazi kuwa tafiti hizo za 'TWAWEZESHWA' zimetolewa kutokana na 'kolabo' ya nguvu ya kada wa Sisiem Maria wa Sarungi wa Twaweza na kada mwingine kijana wa magamba Makamba Junior.

Lengo likiwa kuinusuru merikebu yao ya magamba ambavyo hivi sasa inaelekea kuzama kabisa.

Sasa mambo yameenda kinyume kabisa cha matarajio yao, jahazi la magamba badala ya kuokolewa ndiyo wamelizamisha kabisa ndani ya kina kirefu baada ya matokeo ya utafiti huo kutoka!
 
msiumize vichwa jamani hawa kenge tarehe 25 inacherewa kufika. TWAWEZA ya Nigeria walimtabiri Jonathan atashinda kwa 75% nadhan nyote ni mashahahidi kwa ilivyotokea Nigeria. Rais wa Nigeria sasaivi ni nani??

No tusiridhike kirahisi hivyo.. Hawa jamaa wanawaandaa watu kisaikolojia ili waanze kuzoea kuwa ccm inashinda naamini kutakua na matokeo mengine yatatolewa "yaliyotengenezwa" lengo in kuwazoeza watu. Then kwenye uchaguzi wakichakachua watu wakubali kwa urahisi..
 

Simple answers to critical questions. Mbona unajibu bora lipite. Swali la 3, 7 na 9 ni mwiba. Huwezi kurupuka kuyajibu pamoja na maswali mengine yaliyobaki. Embu hata wewe soma majibu yako then uone kama umetendea haki maswali yaliyotolewa
 
Simple answers to critical questions. Mbona unajibu bora lipite. Swali la 3, 7 na 9 ni mwiba. Huwezi kurupuka kuyajibu pamoja na maswali mengine yaliyobaki. Embu hata wewe soma majibu yako then uone kama umetendea haki maswali yaliyotolewa


Mimi najiuliza kama TWAWEZA wangetoa matokeo ya uchunguzi yanayoonyesha UKAWA ama LOWASA na asilimia kubwa wangeitwa majina haya wanayoitwa sasa? Kwanini UKAWA hawataki kuelewa Wolper kabadilisha hata jina anajiita Lowasa hawamsemi lakini kila kukicha wanamshambulia Diamond. Kweli nimeamini UKAWA hawatashinda uchaguzi Oktoba 2015 ndiyo maana wanajiandaa na visingizio ili waende mahakamani. Lakini tambueni Magufuri ataapishwa tarehe 30 Oktoba kabla kesi yenu haijaenda mahakama kuu.


Kuhusu Wabunge naomba wabunge wengi watoke Upinzani.......Wabunge wote walioitetea serikali kwa ESCROW watoswe na wale waliopinga katiba pia watoswe hayo ndo mabadiliko ninayoytaka mimi si kuleta kiinimacho cha CCM kupitia mlango wa nyuma (UKAWA)....BIG NOOOOOOOOOOOOOO
 
swali la 15 kwa nini walikataa wanaume wasiulize maswali?
 
Ni aibu kwa taifa kuandaa taarifa za kupika na huu ni ufisadi pia, wakati Magufuli anasema atafunga mafisadi wakati huhuo anatumia pesa za ufisadi wa escrow kununua watafiti ,wasanii na wanasiasa uchwara.


Yaani Magufuli anajidanganya kuwa ana uwezo wa kupambana na mafisadi wa CCM. Hao Mafisadi anaowasema ndio wanafinance campaign zake zote , kumchapishia mabango na kuhonga wapinzani. fedha zote zilizotumika kuwahadaa wapinzani na yeye kuahidi vyeo kwa wanaccm uchwara ambao ndio wanaomomonyoa nchi kwa ufisadi na kuwa na affiliation kwenye mikataba tata ya gesi na mafuta. akipita magufuli itakua hata bora kwa mr. Impotent kwa kuwa huyu hakubaliki bali pesa ndio inayofanya kazi kujenga ushawishi.
Aeleze jinsi atakavyoshughulika na Katiba mpya na adhabu kwa benk kuu ya Tanzania iliyoshindwa kusimamia madeni ya nje, fedha za NBC, fedha za kussuppport wajasiriamali, fedha za kusaidia waagiza bidhaa nje, escrow, madeni mengine ya nje kama Libya na watuambie walionufaika nazo wanatiwaje adabu.

watuambie waratibu wa safari za raisi walivyofisadi nchi na kujiona ndio wenye hatimilkiki ya ikulu atakavyoshughulika nao. na ufisadi wa miradi ya bandari bagamoyo na bomba la gesi baadae atakavyoshughulikia ujenzi wa chini ya kiwango barabara ya Kimara posta na atuambie anayekula 10% kutoka strabarg. wanataka wafunike wapite. slogan ya hapa ni kazi tu ni kuwa hapa kazi ni wizi tu. CCM ni syndicate ya wizi na kisima cha uongo na ufisadi. na pia atamfanyaje mke wa mgombea wa ubunge ubungo aliyezalishia watu ARV feki Arusha atakavyushughulika naye na raisi anayemaliza muda wake kwa mali zenye mashaka yeye na familia yake!!
 

mjomba ww huelewi Lowassa anasema wewe mtilie kura yako tu huko mbele anajuwa yeye kama kuna mchezo watachezeana. UKAWA Imejiandaa kinomaa miaka 5 ni mingi kusubiri uchaguzi mwengine, matokeo ni jino kwa jino.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…