Katika Hali ya Kawaida Ukitaka Kufanya Mambo yaende Vizuri siku zote Jaribu Njia Ya mashauriano na Ikishindikana Hii njia ndio Unachukua Njia Nyingine!! Unakumbuka Hata waliotaka Kumtoa Gaddaffi Walimuomba sana Wafanye Mashauriano au La astep down!! Yeye Ghadaffi akawadharau na Kuwaita Panya!! Ila kwa sasa Tunaona Panya wameweza Kuangusha Kabati!!!
Huo ndio unafki mlikuwa wapi siku zote msishauri mpaka mkulu amesaini ndio mnaanza kusema cdm wamekosea??
Magamba nyie mko kazini
NAHESHIMU VIONGOZI WANGU NA SIIPINGI CHADEMA ILA KUOMBA NA KUKUTANA NA RAISI KIKWETE KULIKUWA HAKUNA MAANA YOYOTE KWANI HAKUNA KILICHOBADILIKA,MSWADA UMEPITISHWA NA BUNGE NA KUSAINIWA NA RAISI KAMA RATIBA YA MAGAMBA ILIVYOKUWA,NAFIKIRI KWA HILI LA KUOMBA NA KUKUTANA NA RAISI TENA MARA MBILI HALIKUWA LA MSINGI.
NI BORA KUKAA KIMYA KAMA NSSR AU KULETA JAMBO HILI KWA WANANCHI MOJA KWA MOJA LAKINI KUKUTANA NA RAISI NA KUMSHAURI NI SAWA NA KUCHUKUA KESI YA NGEDERE NA KUMPELEKEA TUMBILI.
NA SASA NAFIKIRI ILIKUWA BORA KUKAA BUNGENI NA KUJADILI MSWADA KULIKO KUTOKA KWANI MNAKIMBIA KWA SHANGAZI (BUNGENI) HUKU MNAOMBA KUKUTANA NA MJOMBA(IKULU) SIO SAWA
TUBADILIKE HILI LISIJITOKEZE TENA NI LAZIMA TUSOME NYAKATI NA MISIMAMO YA MAGAMBA HASA WAKATI HUU AMBAPO CHAMA CHETU KINAKUA KWA KASI
JK na makinda ni pete na chanda
Katika Hali ya Kawaida Ukitaka Kufanya Mambo yaende Vizuri siku zote Jaribu Njia Ya mashauriano na Ikishindikana Hii njia ndio Unachukua Njia Nyingine!! Unakumbuka Hata waliotaka Kumtoa Gaddaffi Walimuomba sana Wafanye Mashauriano au La astep down!! Yeye Ghadaffi akawadharau na Kuwaita Panya!! Ila kwa sasa Tunaona Panya wameweza Kuangusha Kabati!!!
CDM ITASIMAMA IMARA SIKU ZOTE NA ITASIMAMIE KWELI KWA NJIA YOYOTE HATA KUFUNGWA JELA ,KUUAWA NA KUFA,SIKU ZOTE UKWELI NDIO NGAO YETU
JK TULIMFUATA ILI KUMUAMBIA UKWELI LAKINI YEYE KAONYESHA DHAHIRI UDIKTETA WAKE HAIJALISHI BADO TUPO HAI TUTAENDELEA KUPAMBANA MPAKA KIELEWEKE
hakuna kulala mpaka tumeingia IKULU
Katika Hali ya Kawaida Ukitaka Kufanya Mambo yaende Vizuri siku zote Jaribu Njia Ya mashauriano na Ikishindikana Hii njia ndio Unachukua Njia Nyingine!! Unakumbuka Hata waliotaka Kumtoa Gaddaffi Walimuomba sana Wafanye Mashauriano au La astep down!! Yeye Ghadaffi akawadharau na Kuwaita Panya!! Ila kwa sasa Tunaona Panya wameweza Kuangusha Kabati!!!
Mkuu, wahenga walisema asiyejua maana, haambiwi maana. CHADEMA wamefanya kitu kizuri ambacho mwenye uwezo wa kuzichambua duru za kisiasa watasema well done CHADEMA!Kabla ya kususa mjadala wa Katiba kule bungeni, wakaacha ushahidi wa msimamo wao ktk Hansards za bunge.Wakaona pia wasiishitaki serikali kwanza kwa wananchi bila kujibu swali tarajiwa kutoka kwa hao wananchi kwamba Je? mliishauri nini serikali kuhusu sheria hiyo ya mchakato wa katiba mpya nayo ikakataa hadi kuamua kuishitaki kwetu? Majibu wameshayapata; mapendekezo yetu tulimkabidhi Mhe. Rais akayakataa.Kwa hiyo mnaobeza ni kwamba, hamjausoma bado huo mchezo mkauelewa!Ni sawa na mchezo wa chess.wamechemka na sasa wamekuwa CCM C hahahaaaaaa upende usipende